Kuna watu kazi yao ni kulala,kupiga tizi wao wanasubiri
Sim za kazi nzito tu waende 😄
Ova
Yani unamfananisha Pablo Escober na Jamaa wa magomeni haupo siriaz au unatania...yani ufananishe mtu anasakwa na Marekani ( FBI) na huyo mzaramoAchana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.
Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!
Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Uomgo wa mtaanii.....selo kusikie tu....chakula unapewa kutokana hela yako.....sasa wanakula gwanda zoezi lime change sasa wafungwa maishaKuna jamaa anadai jamaa wanaishi kama wako uraiani! Wanapata kila kitu! Simu, misosi ya maana, mpaka mademu!
Kama kina Escobar!
Hatari sana hawa watu!
Deal wanazo fanya sio ila adhabu pia wanazo pewa naona kubwa sana ukizingatia watumiaji wa hizo vitu ni kama bia tuu hawashikiwi bunduki😂 😂 😂
Huyu Chonji pale Magomeni Makanya ana jumba la ghorofa aisee. Alafu alikuwa anasaidia sana Wagonjwa kwa mujibu wa watu wa Mwananyamala-Kisiwani na Magomeni maeneo ya Kwa Bi Nyau
Hahaha hahaha 😅🤣🤣👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Na tunaowalawiti nyie wajukuu wa myaudi
Hahaha hihihii kwikwikwiNa tunaowalawiti nyie wajukuu wa myaudi
Kiing usiwe na tamaa wee komaa tu kwenye mkaa
Kila anaekuja anakuja na team yake wa awamu iliyo pita wanaondolewa kwenye mfumo wanaletwa wengine, hata kuna team mpya hawaguswi ila ikija face nyingine hao walio wanaondolewa wakikaidi kama wakina chonji wanatupwa jela..wa***sng kama nyie hamtakuja kuisha,..unamjua chonji wewe.
Such a honesty comment from honesty soul....Wanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji, Mungu awasimamie.
Ajali kazini kama hauna roho ngumu kaka zangu msifanye kazi na biashara haramu mtaani patamu sn
Tulia weweee. Angalia usalamaBabe nilitaka siku moja tu inject heroin tupae juu ka njiwa ndio tujifeel tuko ju ya hii dunia.
Very very high high
Kama movie vile ......Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.
Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!
Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
huna unalojua kwene izo vitu,chonji hajaanza hiyo biashara juza wala jana.,kidogo umekuja hapo kwenye watu wapya ila huna unalojua chonji sio dealer mdogo nchi hiiKila anaekuja anakuja na team yake wa awamu iliyo pita wanaondolewa kwenye mfumo wanaletwa wengine, hata kuna team mpya hawaguswi ila ikija face nyingine hao walio wanaondolewa wakikaidi kama wakina chonji wanatupwa jela..
MIjihela ilibaki salama kweli 😁Mule ndani kwqke jamaa alikuwa na mzigo mahela,kuna watu walikuwa wanapack kazi wengine wana hesabu mijihela nk
watu wanaishia hapo kwenye drugs tu.. that is episode 2 of the story.Unamaanisha huyuhuyu mwenye sijdah kubwa pajini kama chapati.
uyu jamaa nimeanza kumsikia toka niko form one maarufu sana pamoja na mwngne sijui nani nani luzaWamekamatwa wa 5 ila Chonji ndio yupo kwenye headline itakuwa ni maarufu huyu
Jaribu kuwa muelewa, nimeelezea tukio la kukamatwa kwake linamfanano wa kuuliwa Escoba au kumzidi.Unafahamu mpaka Escoba anauliwa alikuwa kwenye mazingira gani?? Alikuwa mpweke na amejichokea halafu hana tena msaada!yani ufananishe mtu anasakwa na Marekani ( FBI) na huyo mzaramo
Pale sio popo bawa ni Kona ya gereji ndipo nilipo zaliwa pale🤣🤣🤣lile gorofa la mtaa wa popo bawa sijui itakuwaje
Ndiyo maana nimekuambia mda wake umesha isha ndiyo maana amesha ondolewa kwenye mfumo.. kila awamu ya kiongoz wa jumba anakuwa na watu wake..huna unalojua kwene izo vitu,chonji hajaanza hiyo biashara juza wala jana.,kidogo umekuja hapo kwenye watu wapya ila huna unalojua chonji sio dealer mdogo nchi hii