Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Muharami Abdallah (Chonji) na wenzake wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kusafirisha dawa za kulevya

Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.

Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!

Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Yani unamfananisha Pablo Escober na Jamaa wa magomeni haupo siriaz au unatania...yani ufananishe mtu anasakwa na Marekani ( FBI) na huyo mzaramo
 
😂 😂 😂
Huyu Chonji pale Magomeni Makanya ana jumba la ghorofa aisee. Alafu alikuwa anasaidia sana Wagonjwa kwa mujibu wa watu wa Mwananyamala-Kisiwani na Magomeni maeneo ya Kwa Bi Nyau
Deal wanazo fanya sio ila adhabu pia wanazo pewa naona kubwa sana ukizingatia watumiaji wa hizo vitu ni kama bia tuu hawashikiwi bunduki
Hivi mtu akitandikwa miaka 20 jela akitoka atakuwa haja jifunza tuu na kuacha hizo shughuli
 
Wanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji, Mungu awasimamie.

Ajali kazini kama hauna roho ngumu kaka zangu msifanye kazi na biashara haramu mtaani patamu sn
Such a honesty comment from honesty soul....

Hakika hiyo ni ajali kazini tu kama ilivyo ajali zingine.

Na si ajabu hapo yeye ni mbuzi wa kafara tu hili vigogo fulani serikalini wabaki salama.... na huko anaenda kupunzika tu kwa muda kisha anarudi kuendelea na maisha yake
 
Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.

Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!

Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!
Kama movie vile ......
 
Kila anaekuja anakuja na team yake wa awamu iliyo pita wanaondolewa kwenye mfumo wanaletwa wengine, hata kuna team mpya hawaguswi ila ikija face nyingine hao walio wanaondolewa wakikaidi kama wakina chonji wanatupwa jela..
huna unalojua kwene izo vitu,chonji hajaanza hiyo biashara juza wala jana.,kidogo umekuja hapo kwenye watu wapya ila huna unalojua chonji sio dealer mdogo nchi hii
 
yani ufananishe mtu anasakwa na Marekani ( FBI) na huyo mzaramo
Jaribu kuwa muelewa, nimeelezea tukio la kukamatwa kwake linamfanano wa kuuliwa Escoba au kumzidi.Unafahamu mpaka Escoba anauliwa alikuwa kwenye mazingira gani?? Alikuwa mpweke na amejichokea halafu hana tena msaada!

Sisi watoto wa Magomeni tumeshuhudia ambush kubwa mbili za wauza madawa maarufu hapa Tanzania! Kwa umri wangu nimeyaona haya, wahenga wataongezea!

1) F.B.I walipoamua kutafuta lao mara baada ya Osama kulipua ubalozi! Magomeni haikukalika! Wale wahenga mnamkumbuka ule msako wa F.B.I kwenye ile nyumba ya muuza madawa maarufu wa Magomeni miaka hiyo??

2) Ambush ya serikali ya Tanzania dhidi ya Chonji! Fikiria serikali inatumia rasilimali zake kubwa kumkamata mtu mmoja! Serikali inakata mawasilino ya mkoa, inatumia magari zaidi ya 20, inatumia kikosi maalumu kumkamata jamaa!

Ok, wale wahenga wa Kinondoni mtaongezea yenu, ila la komando Tamimu msilikose!
 
huna unalojua kwene izo vitu,chonji hajaanza hiyo biashara juza wala jana.,kidogo umekuja hapo kwenye watu wapya ila huna unalojua chonji sio dealer mdogo nchi hii
Ndiyo maana nimekuambia mda wake umesha isha ndiyo maana amesha ondolewa kwenye mfumo.. kila awamu ya kiongoz wa jumba anakuwa na watu wake..

sina tena mda wa kutosha kukujibu
 
Back
Top Bottom