Achana naye huyo, mshikaji alikuwa bonge la don, marehemu Magu ndiyo alitoa oda. Kuna mdau kaelezea jinsi alivyokamatwa kwake, tulikuwepo hiyo siku.Nafikiri umeme ulikatwa Dar nzima, coz tuliulizana kila mahali.
Unamkumbuka yule muuza madawa maarufu wa Colombia aliyeitwa Pablo Escobar?? Lile tukio la kukamatwa kwake ndiyo kama la mshikaji na linaweza kuzidi coz Escoba alikuwa tayari kishajichokea!
Wale vijana, sijui ni makomando?? Yale magari plus silaha, hahaha wewe acha wewe , usichezee dola wewe! Jamaa alikuwa na vijana wake full trained na silaha lakini walichapika kama mvua! Simu haitoki wala haiingii! Aliyekuwepo mwingine ajazie nyama basi!