Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole yao Wale matunda ya matendo yao hakuna namna
Wewe bwana wewe SI yule dada ake alikuwa anaitwa rose😭😭😭😭Joji white marehemu yule
Nasikia hivyo pia kuwa mwamba yupo uraianiTetesi huyo aliefungwa US amesha achiwa... Kule walimpeleka kupumzika tu.. Waka freeze assets zake bhas... A very humble and family man... Ila kwa matukio sasa.....
Hiyo story Yako ni nyingine Kuna mwamba mwingine alinaswa hapa hapa enzi za mkwele,Beka ranger namjuwa tokea skiwa fundi maredio mara nasikia kaingia kwenye mipango,anyway kwa kino na migomigo hyo kawaida tu
Sema yule alikamatwa kwa kuvitwa,FBI hao hao walikuwa wanamsaka...kuna watu waliwakamsta nje huko ndy wakamtaje beka
Ona sasa wazungu walivyokuwa na akili wakikutaka,hawana haraka si walikuwa wanafanya naye biashara na kumpa pesa
Dili moja wakanuambia kwann usije huku uchukue tu pesa yako na kuna mpango mkubwa zaidi,beka si akaenda kichwakichwa ndy akanasa 😄
Ova
Yeah, 2014.Serikali karibu zote duniani zinajihusisha na hii biashara kwa namna moja ama nyingine na huwatumia watu fulani kisha baadaye wanawapoteza!Chonchi alikamatwa kipindi cha JK akiwa ndio anakaribia kuondoka madarakani, hata shikuba alikamatwa kipindi cha JK pia
Wewe bwana wewe
Wewe bwana wewe SI yule dada ake alikuwa anaitwa
Ndiyo na ana mdogo wake anaitwa AbuuWewe bwana wewe SI yule dada ake alikuwa anaitwa rose😭😭😭😭
Joji white marehemu yule
Ndiyo na ana mdogo wake anaitwa Abuu
Langar wanguuu ma uncle sitomsahau kabisa na ndicho kimemuua mapema hatamamake aakanza kutokuwa sawa mpaka akamfwataa mwanaeOne of the realiest Dawg..Continue to rest in peace homeboy Langa Kileo
Mzumbe hapo ndo tunachezaga cha ndimu, jamaa alifia nje ya nchiAbuu itakuwa ni WA mwisho huyo Mimi nilikuwa namfahamu George na Rose...last time nilisikia jamaa amezamia...!
Huyo mwamba Mimi nimekuwa nae nyumba moja hapo kwa chonchi enzi hizo Kuna uwanja usawa wa hiyo sheli ukivuka barabara watu walikuwa wanacheza mpira Cha ndimu mnaita🤣🤣🤣
Nimekumbuka mbali
Mzumbe hapo ndo tunachezaga cha ndimu, jamaa alifia nje ya nchi
Huyu kama sijakosea ametangulia mbele za haki.(Naomba kusahihishwa) Alizamia South.Mimi nilikuwa namfahamu George
Chonji anafahamika sana kwa wale wa magomeni acha akatumikieDar kila mtu ni maarufu chief, ebu elezea ndio akina nani hao wachoji...🤔
Kwani hukumu si imetolewa na mahakama?Chonji ni Tajiri maarufu kule Nagomeni MwembeChai ni The Doni hasa.
Tangu mwaka 2010 alikuwa akiwika kama tajiri anayeibuka kwa kasi.
Kesi hii imekaa muda mrefu sana..
Hongera Dr Samia kwa kusimamia ukweli kuliko wale wenzako walioshindwa kazi wakaishia kubambikia watu madawa kwa chuki tu.
Mzumbe hapo ndo tunachezaga cha ndimu, jamaa alifia nje ya nchi
😂😂😂 mimi ni ile generation ya tatu hapo Makanya, nilikuwa nakaa nyumba ya chini baada ya kina Joji(Kwa Bi Manywele)Unamfahamu Nzinza...au nziii hapo kwenye hiyo nyumba ya mtama mchungu enzi hizo Kuna Mzee alikuwa anafuga MBWA...!
Kabla hicho kighorofa hakijajengwa...!
Ulikiwepo enzi hizo...?
Kuuza madawa sio ajali kazini hao walitakiwa wauawe kabisaWanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji, Mungu awasimamie.
Ajali kazini kama hauna roho ngumu kaka zangu msifanye kazi na biashara haramu mtaani patamu sn
Huyu kama sijakosea ametangulia mbele za haki.(Naomba kusahihishwa) Alizamia South.
Hapo palipo kuwa na madrasa...? Jirani na madrasa...?😂😂😂 mimi ni ile generation ya tatu hapo Makanya, nilikuwa nakaa nyumba ya chini baada ya kina Joji(Kwa Bi Manywele)