Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Muhimbili kuanza kupandikiza mimba mwaka 2020

Wapiga mkunyeto watauza shahawa zao hospital nakujipatia pesa unakwenda hosital unapewa kichupa kidogo kama kile cha kipimia sampo ya mkojo unaweka shahawa zako unaandika maelezo yako mweusi au wewe mweupe nywele singa au ngumu
 
Watapata soko sana kwa wanawake was Dar.... Huku kwetu tunaweka mimba hata kama mwanamke yupo kwenye siku zile za free
 
Ni jambo jema sana hasa Kwa wale ambao uwezo au maradhi yamewafanya washindwe kwa njia ya asili.

Ila jamani mimba ya bao ni nzuri acha kabisa.
 
Wewe basi ni Muislam jina..!
Yawezekana hunifikii kielimu wala kimsimamo tusimamie mambo yetu ya msingi usawa serikalini na kwenye taasisi za uma ijumaa itambulike kama siku yetu ya ibada watoto wetu wa kike wasizuiwe kuvaa hijab mashuleni na sehemu nyengine hayo yanatuhusu sisi direct yakiguswa hayo na yanayofanana na hayo hapo lazma kiwake sasa watu wanaongelea kupandikiza mbegu kwenye hospitali ya uma(Muhimbili) unasema ni kinyume na mafundisho ya bwana mtume(S.A.W) sasa mkristo ama mpagani inamuhusu nini? Sikatai ni kinyume cha mafundisho yetu lakini huu upuuzi ungefanyika kwenye hospitali zetu ndio tungepaswa kuhoji sio Muhimbili elewa hoja usijione wewe ndie mjuzi sana wa dini nikisikia Amana benki wameanza kutoa mikopo ya riba nitahoji na nitashangaa sana ila sio kwa Crdb,Nmb nk sababu najua hazihusiani na dini!
 
....unasema ni kinyume na mafundisho ya bwana mtume(S.A.W)

Sikatai ni kinyume cha mafundisho yetu lakini huu upuuzi ungefanyika kwenye hospitali zetu ndio tungepaswa kuhoji sio Muhimbili elewa hoja!

Hospitali zenu ni zipi hizo ndugu, umeoshwa ubongo unajiona mwarabu mfiadini.... samahani nimewavamia tu.
 
Dah hiyo nifursa kwa bashite maana alikuwa anasumbuka kwenda China.. Najua anafurahia saana
😄🎵Kigani eeh fungua njia kitoto kaanza taamba🎵
Sipati hicho kizazi kama hiki tu ni pasua kichwa kimaadili sijui
 
Kuna sauti ya kicheko kutokea jirani na soko la ilala karibu na ghorofa la walimu
 
Yawezekana hunifikii kielimu wala kimsimamo tusimamie mambo yetu ya msingi usawa serikalini na kwenye taasisi za uma ijumaa itambulike kama siku yetu ya ibada watoto wetu wa kike wasizuiwe kuvaa hijab mashuleni na sehemu nyengine hayo yanatuhusu sisi direct yakiguswa hayo na yanayofanana na hayo hapo lazma kiwake sasa watu wanaongelea kupandikiza mbegu kwenye hospitali ya uma(Muhimbili) unasema ni kinyume na mafundisho ya bwana mtume(S.A.W) sasa mkristo ama mpagani inamuhusu nini? Sikatai ni kinyume cha mafundisho yetu lakini huu upuuzi ungefanyika kwenye hospitali zetu ndio tungepaswa kuhoji sio Muhimbili elewa hoja usijione wewe ndie mjuzi sana wa dini nikisikia Amana benki wameanza kutoa mikopo ya riba nitahoji na nitashangaa sana ila sio kwa Crdb,Nmb nk sababu najua hazihusiani na dini!
kwa hiyo hata machinjio ya umma wakiwa wanachinja kikafiri utasema haina shida sababu ni ya umma? hivi mfano wakianza kufundisha ushoga mashuleni utasema ni sawa kwa sababu ni shule za umma?
 
kwa hiyo hata machinjio ya umma wakiwa wanachinja kikafiri utasema haina shida sababu ni ya umma? hivi mfano wakianza kufundisha ushoga mashuleni utasema ni sawa kwa sababu ni shule za umma?
Suala la machinjio hilo lishaisha hadi hii leo wewe unakula nyama kuna watu wamefight sana hadi serikali na jamii kukubali na kuona ni kawaida machinjio kuwa na mchinjaji muislam mwanzo hali haikuwa hv km uonavyo kwenye uvaaji hijab na sala ya ijumaa mada yetu mimi nawe tunaongelea jambo jipya ambalo wewe na imani yako halikugusi kabsaaa umeambiwa Muhimbili wana pandikiza mimba hiari yako uende usiende deal na vitu vinavyogusa moja kwa moja imani yako km wao wataenda kupandikiza ni juu yao suala la ushoga nalo mada yake tulishafunika kitambo sio sisi tu waislam hata wakristo na wapagani hawaukubali na unapigwa vita vya kutosha ingawa miongoni mwetu wapo wanaosapoti ila bado haiondoi ukweli kwamba asilimia kubwa tunaupiga vita!
 
Back
Top Bottom