Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mkuu lengo la kwanza lilikuwa kuwaweka watoto huru kila mtoto ajitegemee.Lengo lilikuwa kuvunja record,kuwa wa tatu/nne Africa Kwa kutenganisha watoto walioungana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu lengo la kwanza lilikuwa kuwaweka watoto huru kila mtoto ajitegemee.Lengo lilikuwa kuvunja record,kuwa wa tatu/nne Africa Kwa kutenganisha watoto walioungana.
Mkuu wewe unatumia vizuri ubongo wakoKama aliye wekewa moyo wa nguruwe huko kwa mabeberu Marekani hatunaye na ndiko unakokokusifia kwamba hawana majaribio, basi Madaktar wetu wamethubutu na wameweza.Lengo halikua kuua bali kuwatenganisha kila mtu aishi kivyake na aenjoi privacy yke binafsi
Ni bora basi wangebaki vilevile kama wangefariki mbeleni natural death kama wale mapacha basi ni sawa kuliko hivi ilivyotokea.Kwa jinsi walivyo ungana hata wasingefanyiwa operation wangefariki tu, ilikuwa ni suala la muda tu
Haaa! Leo umeamua kuja kwa staili ya maswali tupu?Je, walivyofanyiwa Op walikufa hapo hapo??
Je, wangeweza kuishi kwa kuungana kule kwa muda gani?
Je, waliungana nini?
Je, nini chanzo cha vifo vyao?
Je, hao Mabeberu Op zao zote hua zinafanikiwa hawajawahi kushindwa?
Je, umejuaje kama kwenye hiyo Op mabeberu hawakuwepo au kutia Muongozo?
Kwa beberu na kwetu wapi chance ya survival ni kubwa zaidi na kwa kiwango kipi? Kweli ukweli usisemwe kuwa bongo Nyoso?Kwenye operesheni kama hiyo hata kwa mabeberu chance of survival huwa ni ndogo sana
Shuruti kuyajibu yote.Haaa! Leo umeamua kuja kwa staili ya maswali tupu?
Kubaki vile ni matesoNi bora basi wangebaki vilevile kama wangefariki mbeleni natural death kama wale mapacha basi ni sawa kuliko hivi ilivyotokea.
Sasa hapo kipi ni bora mkuu?Kubaki vile ni mateso
Kumbuka wale mabinti mapacha wa Iran walikuwa wameungana kichwani, walifika umri wa miaka 22. Waliomba watenganishwe licha kuambiwa uwezekano wa kuishi ni mdogo lakini waliomba wafanyiwe. Operation ilifanyika na wote wawili walikufa
Je, walivyofanyiwa Op walikufa hapo hapo??
Je, wangeweza kuishi kwa kuungana kule kwa muda gani?
Je, waliungana nini?
Je, nini chanzo cha vifo vyao?
Je, hao Mabeberu Op zao zote hua zinafanikiwa hawajawahi kushindwa?
Je, umejuaje kama kwenye hiyo Op mabeberu hawakuwepo au kutia Muongozo?
Kwani wenyewe waliokufa wanasema je?Sasa hapo kipi ni bora mkuu?
Kuishi wakiwa vile au kufa mapema
Mapacha walioungana hata ulaya wapo , kuna wanaotenganishwa na kuna wanaoachwa wazeeke bila kuwagusa .Nimechelewa kukutana na huu uzi na tayari kuna comment nyingi hivyo nadhani nitakacho comment huenda Mwingine kesha elezea.
Kwanza kazi ile haikufanywa na Madaktari wa Tanzania peke yao.
Pili bila shaka wewe sio Daktari na hukubahatika kuwaona hao Watoto wanaozungumziwa hapa..mimi pia, ila kwa kuelezewa tu namna walivyokuwa huoni kuwa bado walikuwa kwenye changamoto?.
Hivi huoni kuwa kujaribu kuwasaidia mapema kuliko kuwaacha wakomae ili hali nafasi yao ya kuishi kama Binadamu wenzao wengine ilikuwa rehani?.
Na kama wangekutana na tatizo kubwa mbeleni huoni kuwa bado ingeonekana kwa nini hawakuamua angali wakiwa bado viungo havijakomaa.
Kwa maoni yangu ni bado tu ingefika mahali wangekwama na ingebaki kusubiri wapoteze maisha mmoja baada ya mwingine bila nafasi wala uwezo wa kuwasaidia kwa wakati huo...maisha yao yalikuwa 50 kwa 50 kama hata sio chini ya hapo.
Huwa hawafanyi kama chances za ku survive ni ndogo,Kwenye operesheni kama hiyo hata kwa mabeberu chance of survival huwa ni ndogo sana
Mkuu, Mm naona Tununue vifaa, tukachukue ujuzi na tuwe makini. Hatuwezi kuanza moja kwa kupita njia waliyopita wengine kwa gharama za maisha. Huwezi sema naachana na ndege za mabeberu naanza moja kutest za kwangu kwa kutoa kafara abiria.Hiki ulichokiandika hakina uhalisia hata kidogo. Hao mabeberu unao waamini, kabla ya kufikia hapo walipo na wenyewe walipitia hii hatua ya kuwaamini wataalam wao!
Haikutokea tu from nowhere, wakawa ni mabingwa wa kila kitu. Hivyo wakati fulani, tukubali tu maumivu ili na sisi tufike nchi ya ahadi
29 yrs oldKubaki vile ni mateso
Kumbuka wale mabinti mapacha wa Iran walikuwa wameungana kichwani, walifika umri wa miaka 22. Waliomba watenganishwe licha kuambiwa uwezekano wa kuishi ni mdogo lakini waliomba wafanyiwe. Operation ilifanyika na wote wawili walikufa
They must understand the principle of standing on others' shoulders. Hiyo reasoning yao kwenye masuala ya uhai ni immoral, evil, na criminal.Mkuu, Mm naona Tununue vifaa, tukachukue ujuzi na tuwe makini. Hatuwezi kuanza moja kwa kupita njia waliyopita wengine kwa gharama za maisha. Huwezi sema naachana na ndege za mabeberu naanza moja kutest za kwangu kwa kutoa kafara abiria.
Nakubaliana na wewe 100% Jasmoni.They must understand the principle of standing on others' shoulders. Hiyo reasoning yao kwenye masuala ya uhai ni immoral, evil, na criminal.