The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Ongea pole pole maana unaweza kuta una chat kwenye forums za weupe alaf ukakuta hili swali waulizwa where are you came from kwa ujinga huu huna budi kusema Kenya maana ukisema uko tz unajumuishwa kundi la nyumbu wale wanaofuatana pasipo kujua waendakoTumekuwa Taifa la Wapumbavu Mkuu kwa sababu tu ya mtu mmoja ambaye hajaelimika hata chembe.
Ongea pole pole maana unaweza kuta una chat kwenye forums za weupe alaf ukakuta hili swali waulizwa where are you came from kwa ujinga huu huna budi kusema Kenya maana ukisema uko tz unajumuishwa kundi la nyumbu wale wanaofuatana pasipo kujua waendako
Mimi nina uwezo gani sasa??Kumbuka kuna watu hawana uwezo kama wewe. Hivyo hiyo ni kwa ajili ya watu wakipato cha chini.
Hili jambo linatisha. Mustakabali wa taifa letu u mashakani wakati huu kuliko muda wowote wa uhai wa taifa hili. Naomba watafiti wafanye haraka kutafuta chanzo cha hili janga ambalo ni hatari kuliko corona.Aibu aibu aibu!!!!!!!!
Hivi hao maprofesa wa Muhimbili wanaamini nyungu? Au ndio namna ya kumfurahisha mtukufu?
Hongera Sana Muhimbili National Hospital MNH Waongoze juhudi katika hilo, Binafsi Nimefurahi
Niwakumbushe; Kama Tanzania inakukera sanaa unaweza kuhama.
Wakisema steaming utakubali lakini wakisema nyungu unadharau. Waafrika tuna shida kwenye ubongo wetu hasa mnaojifanya mmesoma kumbe mmekariri hamkuelimika kabisa. Unajua kuwa virus wa corona ni inflammatory? Na kwamba virus wanauwawa na joto sasa steaming au nyungu ndiyo njia mwafaka ya kuwazuia.wasiendelee kuongezeka puani na njia za hewa mdomoni? Elimikeni kwanza then mpinge kwa akili basi nyinyi utopolo.
Sayansi inasimama yenyewe haihitaji validation kutoka kwa mzungu. Kuleta hoja za "mbona wao wana sauna" na picha kama hizi kutafuta validation ndio inferiority yenyewe, na inaonesha kutokuwa na uelewa wa sayansi.View attachment 1717355
Tatizo nadhani siyo kupinga sayansi bali kwa mbaaaali tunakale kaugonjwa kuwa lazima aanze kwanza mzungu ndio inakuwa sayansi ya ukweli.
Ngozi nyeupe wametumia sana mivuke ya Eucalyptus na sisi tunaita Bupigi.
Wataalamu wetu wafanye clinical trials.