Inawezekana. Ngoja nione mwisho wake.
Unajua kwenye vita ya kuchuniana kati ya mwanamke na mwanaume, mbeleni mwanamke huwa anasalimu amri na kuomba suluhu. Wenzetu wana mioyo miepesi.
MANDEVUMENGI inawezakana hizi ni ishara kwamba huyu dada alinipenda, ila baada ya mimi kutofanya chochote ndio akaanza hivi?Mkuu mwanamke akikuonyesha anakupenda nextime usimuignore...ishawahi kunikuta nikiwa chuo nikikumbuka huwa inaniuma sana aisee she was very cute ila ni ule uoga kwamba sina pesa sitaweza kumuhandle ndo kilichoniponza,ila huwa nataman siku zirudi nyuma kwakwel! Alionyesha wazi kuwa ananipenda ila wapi sikujiongeza kilichofata sasa akaanza kunichukia waziwazi[emoji23]
Dr hyperkid hii ni platform ambayo watu wanapata msaada wa kila namna hata watu waliokata tamaa.vijana wa sasa kwa kuomba ushauri hapana kwa kweli
Yaah huyo demu alikupenda ila wewe hukujali...mwanamke akipenda huwa anapenda kweli na dalili zao huwa hazijifichi kabsa...namkumbuka L maskini alinipenda sema ule uoga na ule uzuri nikahisi sitoweza kumuhudumiaMANDEVUMENGI inawezakana hizi ni ishara kwamba huyu dada alinipenda, ila baada ya mimi kutofanya chochote ndio akaanza hivi?
MANDEVUMENGI Pole sana mkuu.Yaah huyo demu alikupenda ila wewe hukujali...mwanamke akipenda huwa anapenda kweli na dalili zao huwa hazijifichi kabsa...namkumbuka L maskini alinipenda sema ule uoga na ule uzuri nikahisi sitoweza kumuhudumia
Hakuna hisia zozote, ningekuwa Nina hisia ningesharusha ndoana. Nimeuliza kwasababu nimemjua muda kidogo ila ndio kanibadilikiaNi dhahiri una hisia kwa huyo muhudumu
Yan kuna watu wanaumizwa na vitu vidogo sanaa. Huyu akipigwa tukio la kufumania pumzi si itakata? 😂😂.Halikuumizi kichwa lakini umelianzishia uzi hapa???