TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Michepuko chanzo cha ndoa nyingi kufarakana, na wengine ulozi mwingi mwanaume hadi anakataa watoto aliozaa anamwambia mkewe na watoto nimekuachia sijawahi kuzaa na wewe. Ikipatikana dawa kama hivi wanajifunza
Wanajifunzaga basi hawa, wote ni sikio la kufa.
 
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na kumfanya Kinga yake na moyoni mwake amemwacha Mungu...
Mungu anasema si mwepesi wa hasira ila ni mwingi wa Rehema, akasema Tena yeye angehesabu maovu yetu nani angesimama ila kwake upo msamaha ili aogopwe.

TOBA NA REHEMA pekee ndio inayoweza kumuokoa mtu aliyekosea

Zaburi 51
 
Ameugua sana huyu Dada
Ameugua mno

Dah!
Nimeumia sana maana alianza kuona tumaini
Itakuwa na ukweli ile kauli kwamba mtu akikaribia kufa anapata nafuu.
Mwenyezi Mungu ampumzishe roho yake salama.
 
Kwani na hao wagonjwa wengine wamefanyiwa operatin nyingi kama yeye? Shida hapo nadhani umekuwa sio ugonjwa wa kawaida kwa jinsi alivyofanyiwa operation, sio kawaida kabisa
 
Nimemsikiliza sanaa since ameanza kuumwa hakika kateseka sanaa ila ni mtu mwenye kuwa na moyo mgumu wa uvumilivu tofauti na watu wa karibu kuwa faraja kwake lakini yeye mwenyewe hakuwa kukata tamaa alikuwa mtu mwenye kujitia matumaini na kuji push kuelekea kutimiza malengo yake ya baadae ,Yote yote Rest In peace humble girl🧭till the next time Carina
Ameteseka huyo mdada, nahisi hata yeye alichoka… 😥🥹
 
Nkamu itakuwa hata yeye alichoka, yale maumivu ni makali 😥🥹
Hakuchoka Nkamu
Yaani alitamani sana aishi
Hadi umauti unamkuta
Alimwambia mama Yake kuwa anarudi na atamtimizia Yale yote aliyomuahidi
Kifo kimemkatili huyu Dada jamani.

Angalia video zake wakati anaenda India
Yaani alipata tumaini.

Serikali tunashukuru imesaidia
Japo imekuwa too late.
 
Si bora wangemuuwa mwanzoni jamanii we miaka 9 kwa kweli nisingeweza 🤔
Ndio hapo sasa
Wametegesha alivyoenda tu India
Wakasema atatukoma

Akiyanani
Aliyehusika
Naye Mungu amuadhibu,apate mateso makali sana zaidi ya aliyoyapitia huyu dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…