TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Uchawi wa XXXXX ni hatari sana.

Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

Huyu dada kwa jinsi alivyoumwa miaka 8 ,chakula hakikai tumboni + Stress lakini mwili wake ulikuwa na nuru ,kama hajakwambia anaumwa huwezi kujua! Maana yake huyo walimchezea na si ugonjwa halisi aliokuwa anapambana nao.
 
Kweli tupu, wabaya hujipanga upya nakuja na nguvu zaidi
 
Hamna kitu Kama hiki Mkuu Dada kaumwa Kama watu wengine na huko India tatizo lake amekuta kuna watu kutoka mataifa mbali mbali wanaugulia the same problem je na hao waliponzwa na mme wa MTU !?
Huo ugonjwa wake unaitwaje??
 
Mh
Kwa nilivyofatilia wanasema zile 24 zote kafanyia hapahapa TZ,hii ya 25 ndo kaenda india
Mi nimemsikiliza mwenyewe alikua anaongea alipokua huko India last week
Weee ashaenda nje nadhan mara tatu jaman
 
Kama jambo halijakufika unaweza usiamini, sijui kwa kisa cha huyu dada ila uchawi upo. Apumzike kwa amani kateseka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…