Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,581
Mama yake kasema ni shangazi zake wamemroga Hawakwanza apumzike kwa amani , inasemekana alifatwa na mwenye mume akamjibu shombo sana ,yule mwenye mume akaondoka kumbe alienda kuyazua kifuayacho ndo hiko😪😪