TANZIA Muigizaji wa Bongo Movie, Carina afariki dunia akipatiwa matibabu nchini India

Hii inawekana...kwa prof jay ilisaidia sana
 
Kuna chama cha siasa kitapewa lawama hata kwa hili
 
Hata Hawa mwenyewe alisema chanzo kilikuwa nesi kwenye operation ya kwanza.
Katoka theater karudi wodini, asbh nesi anamwambia atembee amenyoosha mgongo.
Akamwambia hawezi anaumia.. nesi akamnyoosha kwa nguvu. Sekunde chache mshono ukafumuka wote, Hawa akaingiza mkono anashika utumbo 🙌
Sasa sijui hiyo kushika nayo ikapelekea ma infection.

Yale yale ya yule dentist, some people hawana huruma, unamwambia unavyojisikia anaona kama unadeka.. Certified Hater

 
Mambo ya kidaktari Sina usemi. Apumzike kwa Amani.

Wewe na dentist wako upunguze kumdekea. Nidekee Mimi tu my friend
 
Yani mimi katika kitu naogopa ni watu wa afya wa TZ, Na hizi chatgpt mambo ndio yatakua mabaya kabisa,

Kuna nesi alikosea kuhesabu miez ya mimba, karudisha nyuma mwezi mzima, nusu mtu atiwe kisu kua siku zimepita.

Hapo ingekua shidakwa mtoto na mama pia. They are not serious at all.
 
Hakuna unachofahamu.
 
Amen Amen..

Yule dentist sijui kama nitaweza kumsahau. Hana huruma, hajui kumbembeleza mgonjwa..na ile hosp sirudipo tenaaa kwa akili zangu, labda iwe refferal 🫩
🫂.. Cheza tena nitakusindikiza tu
 
yaan, ndio maana haifai kuridhika na majibu ya hosp moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…