Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

Hii siyo kuwa Tanzania ndiyo ilikuwa nyuma kukubalika? Nchi nyingine haya ni mambo ya zamani tu na siyo suala la generation z....
Kuna bendi za music kama hizi za rock, heavy metal ... unakuta watu watatu na magitaa yao na drummer mmoja wanapiga mziki mpaka basi..... Siri ni kuwa na mabingwa wa kupiga gitaa au drums.. na wengine unakuta wamesomea kabisa.
 
Dogo mwenyewe mwepesi tu. Sasa hiyo Masters in Music anataka kuwa nan?

Unahisi music hauna wataalamu wenye masters na phd.

Walimu wa music wa hapo udsm ama vyuo vikuu vingine hawana elimu ya masters na phd ?

Kozi za music zina scholarships nyingi sana tena za vyuo vikuu bora duniani.


Msanii wa bongo fleva chemical alimaaliza hapo udsm degree ya music amepewa scholarship ya masters na PHD kwenye chuo kikuu kikubwa uingereza.

First class za Degree za engineering hawapati hizo schoraships za vyuo bora vya ulaya na marekani wanaishia kusoma japan , china ama vyuo vya Africa.

Ila hao madogo wa music wanapewa scholarships vyuo vikuu bora vya ulaya na marekani. Wazungu wanapenda sanaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…