Muimbaji na mpiga kinanda kutoka Creative Arts atangazwa best student UDSM. Gen Z elimu for fun!

So what? Chemical alisoma Archaeology sio Music? Scholarships zipo hata za mambo ya 🌈
 
Watu washakariri kua elimu ni kukomaa na midude mikubwa mwisho wa siku wanakua na vyeti vyenye majina mazito ila hawana mchongo wowote.

Huyo dogo akitoka hapo hakosi hata gigs za karaoke na kupata hela za kusurvive.
 
Na A zake hata kazi kwenye hatapata. Music bongo hautaji A za kwenye vyeti. Ajitunze tu vinginevyo wataruka nae aishie majuto

Amepewa scholarship ya masters na Anaajiriwa udsm kama tutorial assistant
 
Watu hawaelewi piano Ni ngumu na wanaoijua wanalipwa pesa ndefu mno hata kuifundisha.
Music is the hardest mathematics,nadhani huwa vinarandana fulani
 
Anaitwa nani ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
GPA ya, arts! Na yanyewe ni ya kushangilia?
Tupo dunia ya artificial intelligence, wewe unaona arts ni kitu cha maana! Kama samia hata degree Hana, ila anapewa PHD, Mond anastahili zaidi ya hiyo degree na gpa zake,
Huyo, mwenye GPA, ngoja arudi kitaa, ataenda kuomba ajira kwa Mond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…