Wote tunahukumu tu pasipo kujuwa ilikuaje, ila mimi nachoamanini a man anazaliwa na character ya kuwa kiongozi yani hiyo ipo tu hata kama hutaki kuwa kiongozi, sasa ni ajabu sana kiongozi wa familia unatumia jaziba na kuruhusu hisia zikutawale na kumtoa mtu uhaiYaani niende Sehemu Ambayo sjisikii kisa Kumridhisha Mtu. Huyo Mwanamke Ukute alienda na Mashoga zake
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
JAMAA ALIPATWA NA HISIA TATA HADI AKASHINDWA KUJIZUIA.R I PWakuu Story Ni Kwamba Huyu jamaa kwenye picha amemua huyo mkewe usiku wa kuamkia leo huko Mwanza baada ya kumkataza mkewe asiende kwenye show ya Mondi.
.
Baada ya Kumwambia Asiende Kwenye hyo Show ya Nasib Abdul Mke akakaidi akaenda.
.
Jamaa amempiga risasi saba za kichwa na inasemekana na yeye kajiua japo maiti yake haijaonekana.
.
Ila na Nyie Wanawake Mpunguze Visirani.
.
Inaonyesha jinsi Huyu Marehemu Alikuwa mkaidi na hamsikilizi Mme Wake.
.
Mme Kakuambia sitaki Uende Pahala Fulani then ww unakaidi ni Nini Kama Sio Dharau na Kiburi?
.
By the way anything else Happen for a reason.
.
RIP Binti MzuriView attachment 2243573View attachment 2243574
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mfume dume sio wa mabavu mfume dume uwe wa kiutawala na wa ku compromise where necessaryLabda nikukumbushe mfumo dume ni asili mfumo ke ni wa bandia
Kaka, mipango ishatimia, inasubiriwa execution stage, approver ni mchepuko wake; akimpagawisha na kumpa uhakika wa maisha, yu a gone brother.Juzi nimechelewa Kurudi, waifu ananambia Ww endelea Ipo Siku Nitakupa sumu Ili Hao wanawake WaKo wakome. Niko kwenye process ya kumtema Ingawa aliomba msamaha Asubuhi.
.
Huyu Mwanamke ninaishi nae under presumption of Marriage
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusianoSidhani kama alikosa means ya kuitafuta ya kiamani shida kuna watu mnapenda mifumo dume sana sio kila jambo utakua mkali, jaribu pia kumpa nafasi mwenzako vitu anavyopenda mnataka mfanane kila kitu kama hupendi mziki yeye anapenda mpe nafasi unaweza mpeleka wewe ukaenda sehemu tulivu ukimsubiria atoke simple
nakaziaNa nyie vijana mnaoa pisi kali zinawaletea matatizo tu, kila saa utawaza anataka kukusaliti, tafuteni pisi za kawaida muoe
Unajua wangapi washapotea kwa Imani au kumpigania huyo, au Imani yoyote for that matter ?Shetani kavuna mavuno yake. Njooni kwa Yesu muwe salama, nje ya Kristo ni hatari tupu. Huyo mondi mwenyewe ni devil worshipper!
YESU KRISTO ni BWANA na MWOKOZI
Mkuu, wanawake wauza sura Mjini Wana mambo Mengi. Wanatongozwa Sana. Ukute Demu alkuwa msaliti Kwa Mshikaji au Mshikaji alikuwa msaliti so wakawa wanaishi Kwa Kutunishiana.Dah huyu mwamba angesoma huu uzi hapa chini pengine asinge chukua uamuzi huo. Maudhi ya mwanamke ni natural. Do not take it personal. Mwanamke akiwa mzuri zaidi anakuwa na maudhi zaidi.
Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi
Au wana kuwaga na mapepo nini ? maana mwanamke akiwa mzuri kupita kiasi hadi mapepo huwa yanawapenda ( Gen 6:1–4 ) Kama una mwanamke mzuri kupita kiasi usizae nae mpaka baada ya miaka mitano ya ndoa/mahusiano kwa sababu uzoefu unaonyesha kwamba mwanamke mzuri...www.jamiiforums.com
Daaaah Mwanangu umeongea Kwa Hasira [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwanamke wa starehe we unamuweka ndani. Matokeo yake ndio haya, jamaa limekufa kiboya sana aisee!
Sijakushikia mtutu kuamini falsafa zangu na itikadi nazo amini katika namna ya kuishi na mwanamke, una tusi lininge maana hilo sio jipya ni la kawaida sana, jitasmini kile unachokiandika ndicho kina kudefine jinsi ndani ulivyo tunasema law of attractionSema wewe jamaa una ushauri wa kingese sana kuhusiana na mambo ya wanawake na mahusiano
Hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha mauaji let alone hizo petty reasons.Huyu Dada hakuwa na Utii na Mme Wake, Hakuna watu ambao wanaumizwa na majibu ya Mwanamke kama Mwanaume.
.
Hatuwezi Jua baada ya Marehemu Kurudi Huko Alimjibu Nini Mwanaume Wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mjuba Mbna una Hasira na Mm wakati mm Mleta Uzi Tu [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe ni mpu.mbavu
Hakuna sababu yeyote ile inayo halalisha mauaji let alone hizo petty reasons.
Mtu aende kwenye show ndo sababu ya kumuua au kisa hakusikilizi ndo umuue?
Mke sio mtumwa wako akose uhuru wake na Kila kitu anachopenda na kufanya unayotaka wewe tu sio kifungo hicho.
Hii victim blaming inabidi iishe na watu wajue ndoa sio utumwa. Mkishindwana mnaachana it's that simple sio kutoa uhai wa mtu.