Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Hana akili hata kama alikua anamtesa asingetoa uhai wake!!!
Angemgonga moja ya unyayoni alafu anapomuuguza ndo amuelekeze kuwa mmbo uliyokuwa unayafanya mimi nilikua siyapendi na ukipona kwenu!!!!

Simple like that!!!!
Mwanaume ukiua mwanamke kwa sababu ya mahusiano wewe ni dhaifu na unatakiwa kufirwa tuu!!!
 
Wewe utakuwa bado una umri mdogo sana. 😀😀😀
Mimi nakaribia kuzeeka na tangu niko mdogo nimeshuhudia wanandoa wa kikristo wakiburutana miaka na miaka lakini si kuachana.
Na wapo wengine ambao walikuwa wanatengana juu kwa juu na kila mmoja anaenda kuishi na mchepuko wake lakini kanisani bado wanahesabika ni wanandoa ndio maana nikaconclude kuwa ndoa za kikristo hazina kuachana
 
Hana akili hata kama alikua anamtesa asingetoa uhai wake!!!
Angemgonga moja ya unyayoni alafu anapomuuguza ndo amuelekeze kuwa mmbo uliyokuwa unayafanya mimi nilikua siyapendi na ukipona kwenu!!!!

Simple like that!!!!
Mwanaume ukiua mwanamke kwa sababu ya mahusiano wewe ni dhaifu na unatakiwa kufirwa tuu!!!
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Umpige risasi ya mguu ajiuguze akipona anakuwekea sumu kwenye chakula kwisha habari yako
 
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Umpige risasi ya mguu ajiuguze akipona anakuwekea sumu kwenye chakula kwisha habari yako
Ukisoma mpaka mwisho ndo utajua.
Nmesema unapomuuguza unampa cancelling za kutosha akipona si anarudi kwao utakaa nae na wewe kwa akili zako!?😂😂😂😂😂😂
Unampa adhabu ya kutafakari ujinga wake akiwa kwaoooo ila usiue bwanaaa mi mtu wa mungu sipendagi hayo kabisa
 
Mimi nakaribia kuzeeka na tangu niko mdogo nimeshuhudia wanandoa wa kikristo wakiburutana miaka na miaka lakini si kuachana.
Na wapo wengine ambao walikuwa wanatengana juu kwa juu na kila mmoja anaenda kuishi na mchepuko wake lakini kanisani bado wanahesabika ni wanandoa ndio maana nikaconclude kuwa ndoa za kikristo hazina kuachana
Za katoliki kuna kitu kinaitwa" annulment" yaani ndoa inatangazwa kuwa haikuwepo toka day one na wanandoa wanakua huru kuoa/ kuolewa ndoa nyingine ya kanisani. Tangazo linatolewa kanisani walipofungia ndoa.
 
Lakini wababa waliolea hao watoto walikuwa hawawazi kulipa mamilioni ya ada,bado kodi,bima ya afya,king'amuzi,bill ya maji na umeme kama wababa wa sasahivi.
Ndio maana nikasema tuwe na nusu ya mioyo miepesi ya watu wa zamani yaani kuachana kwa amani na sio kuendelea kuwa na msaliti au kulea watoto wasio wako.
 
Hana akili hata kama alikua anamtesa asingetoa uhai wake!!!
Angemgonga moja ya unyayoni alafu anapomuuguza ndo amuelekeze kuwa mmbo uliyokuwa unayafanya mimi nilikua siyapendi na ukipona kwenu!!!!

Simple like that!!!!
Mwanaume ukiua mwanamke kwa sababu ya mahusiano wewe ni dhaifu na unatakiwa kufirwa tuu!!!
Ugomvi wa mali
IMG_20261003_191939_238.jpg
 
Sasa mwanaume unalilia mali😂😂😂😂😂😂😂
Sasa alichokifanya atakayefaidi hilo gorofa ni nani sasa!!??

Alafu lilivo fala linaua alafu baada ya kupata akili linaenda kujisalimisha😂😂😂😂😂😂😂

Kabla ya kufanya huo ujinga bia hakuziona na gesti za hukohuko!!?

Ukute alikua kijana safi safi anaenda kunyea debe kwa sababu ya ujinga wa kufikiri.

Heri mimi nimesema!!!!
 
Huyu Baba kwa kumtazama tu unagundua ana shida mahali, yaan ile ukimuangalia kwa umakini, unagundua hayuko sawa sehemu.
Duuh
Kuna watu ukiwaangalia unaona kabisa ili kupendwa wananya jitihada na uwekezaji mkubwa.
Huku kwa wadada kuna wale ukiwaona wapo kwenye mahusiano, ujue wanaingia wakiwa na kifurushi, sasa inabidi mtu ajue huwa wanaingia wakiwa wamelikatia hilo penzi kifurushi cha bei gani, maana likikata tu, hakuna kitakachoendelea, no matter jamaa ali invest kiasi gani kumpata
 
Hana akili hata kama alikua anamtesa asingetoa uhai wake!!!
Angemgonga moja ya unyayoni alafu anapomuuguza ndo amuelekeze kuwa mmbo uliyokuwa unayafanya mimi nilikua siyapendi na ukipona kwenu!!!!

Simple like that!!!!
Mwanaume ukiua mwanamke kwa sababu ya mahusiano wewe ni dhaifu na unatakiwa kufirwa tuu!!!
Changamoto ni kwamba namna ya kuhendo maudhi ndo shida ilipo,hiyo hata Baba Levo amewahisema kuwa wanawake wawe makini sana,hii yakuudhi watu halafu unajua utaonewa huruma,mtu atapotezea tu,siyo wote, mwingine atakusamehe tu uende, mwingine atakuadhibu kwa namna yake.Mfano sasa kama ikitokea na ambapo inatokea,umelea watoto ambao siyo wako,tena labda wanne wote,umekuta voice zinakusema vibaya,na umekuja kujua kwa jitihada zako mwenyewe na ukakuta mwanamke anashawishiwa na huyo aliyemzalisha aombe TALAKA ili mgawane mali,wakaishi kwa furaha,hapo reaction yake ni untellable.
 
Ndoa hazijawahi kukosa changamoto tangu zamani enzi hizo za akina chifu Mangungo ila kizazi chetu ndio tuna mioyo miepesi.
Wazee wa zamani wamelea sana watoto ambao sio wao kwenye ndoa. Unakuta mtoto wa mwisho au wa tatu ni wa mzee mwingine na mzee analea au mtoto anapelekwa kwa bibi yake na ndoa inaendelea. Au mzee anazaa nje ya ndoa akiwa ndani ya ndoa na mama haondoki wala nini.

Sihalalishi kuwa tufanye hivyo kuzaa nje ya ndoa au kufanya usaliti bali tuwe hata na nusu ya mioyo ya watu wa zamani ambapo ni kutengana kwa amani. Mioyo miepesi sio tu kuwa kwenye usaliti bali pia kwenye mali.
Suluhisho la kudumu ni watu kumpokea Kristo Yesu mioyoni mwao ili ang'oe mizizi ya ubinafsi.

Nafsi mbili zenye ubinafsi kuungana ni kutengeneza ticking bomb!
 
Back
Top Bottom