Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Ingekuwa ni balaaa!!!! Kila wiki kuna ME angeuawa!!!!😁😁😁😁Ndo aue
Hv kina dada wangeua ME sababu ya usaliti kungesalia mtu?.
Ingekuwa ni balaaa!!!! Kila wiki kuna ME angeuawa!!!!😁😁😁😁Ndo aue
Hv kina dada wangeua ME sababu ya usaliti kungesalia mtu?.
Yani for realhii inachangiwa sana na mentality zetu, kama hapo jamaa ameshaua unakuta wabongo wanachokitafuta ni kosa gani alifanya huyo demu mpaka akauliwa huku wakitengeneza symtoms kwa muuaji kama alikosewa.
Hakuna kosa la kukuhalalishia kutoa roho ya mtu.
Kumbee, shida nini?KIUT
NashangaaIngekuwa ni balaaa!!!! Kila wiki kuna ME angeuawa!!!!😁😁😁😁
YesKwa hiyo mtu akiwa na short temper ana changamoto ya akili mkuu?
Inaonekana ni wivu wa mapenzi tu hakuna kingine.Kumbee, shida nini?
Hahahaha mbona wapo wazuri tuu, afu huko rangi nyeupe ni nyingi nyingi 🤔Yupo kama mtu wa singida🤔
Kama kuna makubaliano kwamba Mali ni za watoto poa. Ila kutishiana na kunyanyasana mbaya.Kumbe chanzo ni kugombania mali, mwanamke alikua anataka mali ikiwemo nyumba iandikwe kwa jina lake na watoto pekee.
Duuuh.View attachment 3683111View attachment 3683112View attachment 3683113
Sasa house girl ameishi nao miaka 8 na alikuwa anasikia migogoro yao inahusu mali ww bado unapingaMali zinasingiziwa, hapo kuna kitu kingine..!!
So sad kwa watoto bado wadogo mno.
Wanaenda kuishi bila ya wazazi 😥
Hatarii sanaa.Kama kuna makubaliano kwamba Mali ni za watoto poa. Ila kutishiana na kunyanyasana mbaya.
I am not trying to justify Bw. Kweka KUFANYA hayo ila..
Wanaume na wanawake kwenye bado tuna matatizo ya ku resolve ma issue yetu.
Hasa kwenye mapenzi.
Kuna hii issue ya dada Christa Pike, kumuua mwanamke aliyetaka kumchukulia boyfriend wake. Waweza kubisha mapenzi na mahusiano ni issue kwa binadamu.
A lot of effort has to be put in these issues..
Wao wanajiona wako perfect na ni malaika!!! Kuna mmoja hapo amesema kabisa kuwa matatizo yote kwenye ndoa chanzo ni mwanamke!!!!! Yaani ni wabinafsi mno!!!!Nashangaa
Why ME wengi wanasupport hii kitu alofanyiwa dada
Ushasikia KE kafyatulia risasi ME?
Itike mahala wanaume mjitathmini,.hata nyie mna makosa mengi sana
Kaka moyo wa mtu kichake anayekupenda hapa duniani ni mama yako pekee wengine wote ni maigizo shituka mzee mnakutania ukubwani tena hana hata bikraOA MWANAMKE ANAYEKUPENDA
We unayo?Kaka moyo wa mtu kichake anayekupenda hapa duniani ni mama yako pekee wengine wote ni maigizo shituka mzee mnakutania ukubwani tena hana hata bikra
Aache pombe usiisemee bangi vibaya mkuu😂Acha bangi wewe, kweka yupo hai
Duuh! Ila nawaelewa wanaofanya hivi, mie mwenyewe kuna kijana wa mtu lazima nimuue kwa mikono yangu.Inaonekana ni wivu wa mapenzi tu hakuna kingine.
Hao watoto bado wadogo , hao watoto wakiwa wakubwa hawatomsamehe baba yao... jamaa ni mpumbavu na mjinga...Ila mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Mwanamke kaka ww jeuri ni kupiga za miguu uwemlemavu maishaWe unayo?