Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Hizi nyumba hizi acha tu nahisi malaika wa zamu kulinda duniani kila siku huwa wanajionea mengi sana ya ajabu na kutusikitikia tu.... Kuna vitu vinachemka kwenye mioyo na nyumba za watu hasa wana ndoa, usione tu nyumba zimeezekwa kwa mabati mazuri zimefunika mambo mazito mno ndani, usione watu wana vifua vikubwa (six pack) au nyonyo kubwa ukajua wanafanya mazoezi gym au wamenenepa, kumbe wamebeba mambo mazito vifuani mwao mpaka wanataka kupasuka..
Nimefatilia huyu jamaa kwanza ni mpambanaji, pia inaonekana ana mahusihano ya kifamilia na millard Ayo huko kijijin kwao uchagani. Mahusihano yake yanazidi miaka 10 na huyo marehemu mke wake. ..
 
Attachments

  • Kweka.gif
    Kweka.gif
    322.4 KB · Views: 9
Oooh inasikitisha sana kwa kuukatisha uhai wa mtu.

Kunawakati dunia inasononesha sana kila kukicha na shida kubwa ni kuwa wapo watu hawakubali kuwa wao ni wafu watarajiwa.

Ki ubinadam tu,jombaa kafanya tukio hilo kutokana na hasira tofauti na hapo HAKUNA,lakini kwanini AMEUA?

Sawa,

Je,kwanini alishika siraha akiwa na hasira?

Ingalikuwa huenda mimi ni hakimu wa kesi yake wallah ningeenda pale sijui ndio ofisini kwake kiwa nimebebelea mzinga wa NYAGI kwa sababu ningetoa hukumu bila huruma.

Hili kosa ni moja kati ya makosa yanayofikirisha sana.Kisa ndoa?,kwahiyo tusioane au?

Brother Mbaga Jr inasikitisha sana jombaa,imagine mtu slafia kifungoni kisa nyuchi Ingawa haya maneno yako yamenifikirisha kiasi👇.

Unataka kusema sisi(tisionachakupoteza)panatufaa au ni vile tumekata tamaa na maisha🤔?

Zaidi ya zaidi dear Mallerina unakumbuka post ya yule dada.isije ikawa ndio huyu alikuwa aking’ang’ania kuondoka kweye nyumba mzee baba akaona sio vibaya atumie trigger.

Yote ya yote ikifika hatu watu mkishindwana ni vyema muachane kwa wema.

Imagine sumu wanazoziweka katika mioyo yao hao watoto zinawingi ujazo gani?

Haya au tuseme wale watu laana ya kumwaga damu za waTanganyika inawarudia wao wenyewe🤔?

Baada ya hapo niishie kusema nimegundua uzuri na ubaya wa ndoa unasababidhwa na wanandoa wenyewe,kwa uelewa wangu.

Domino moja ikidondoshwa na nyingine zinafuata.
View attachment 3683038Hivyo mliopo kwenye ndoa,hili tukio na mengine mengi yaliyopita na yakawe funzo kwenu na hata sisi amba tunatarajia kutoa laki 3 zetu.

MUNGU AIPUMZISHE SALAMA ROHO YA MAREHEMU.Amina
Kwangu mimi naona huo ugomvi wao utakuwa ulikuwa wa muda mrefu sana mpaka kufikia kuuana
 
Naona uzi mzima mnalaumu wanawake, hebu mnieleweshe what happened!🤔
Hizo dini pia ndo zinasema watu wawe waaminifu,wapendane,waheshimiane etc.Kama wanandoa wangefuata mafundisho yao ya kidini kuhusu ndoa,wangeishi vizuri tu hadi kifo kiwatenganishe. Shida wanachagua mafundisho ya kufuata na ya kutokufuata. Mfano mzuri fundisho la " usizini" watu wanajifanyaga hawalioni. Watu waache unafiki,kama ndoa yenu inaendeshwa kwa sheria za dini, basi fateni sheria zote,kama inaendeshwa kidunia basi ipelekeni kidunia kwenye kila kipengele. Sio mnaendesha ndoa mnavyotaka halafu yakiwashinda ndo mnakumbuka mstari wa " mpaka kifo kitutenganishe".ilihali mstari wa " usizini au usimtendee mwenzako usivyotaka kutendewa" hamkuukumbuka.
Bahati mbaya ni hii,kujua jinsi ya kuendesha gari ni jambo moja na gari kuwa na Mafuta(Fuel) ni jambo jingine!.

Wengi wanajua kuendesha magari lakini bahati mbaya magari yao hayana Mafuta. Hivyo automatically katika hali hii gari haliwezi kwenda!
 
Back
Top Bottom