Oooh inasikitisha sana kwa kuukatisha uhai wa mtu.
Kunawakati dunia inasononesha sana kila kukicha na shida kubwa ni kuwa wapo watu hawakubali kuwa wao ni wafu watarajiwa.
Ki ubinadam tu,jombaa kafanya tukio hilo kutokana na hasira tofauti na hapo HAKUNA,lakini kwanini AMEUA?
Sawa,
Je,kwanini alishika siraha akiwa na hasira?
Ingalikuwa huenda mimi ni hakimu wa kesi yake wallah ningeenda pale sijui ndio ofisini kwake kiwa nimebebelea mzinga wa NYAGI kwa sababu ningetoa hukumu bila huruma.
Hili kosa ni moja kati ya makosa yanayofikirisha sana.Kisa ndoa?,kwahiyo tusioane au?
Brother
Mbaga Jr inasikitisha sana jombaa,imagine mtu slafia kifungoni kisa nyuchi Ingawa haya maneno yako yamenifikirisha kiasi👇.
Unataka kusema sisi(tisionachakupoteza)panatufaa au ni vile tumekata tamaa na maisha🤔?
Zaidi ya zaidi dear
Mallerina unakumbuka post ya yule dada.isije ikawa ndio huyu alikuwa aking’ang’ania kuondoka kweye nyumba mzee baba akaona sio vibaya atumie trigger.
Yote ya yote ikifika hatu watu mkishindwana ni vyema muachane kwa wema.
Imagine sumu wanazoziweka katika mioyo yao hao watoto zinawingi ujazo gani?
Haya au tuseme wale watu laana ya kumwaga damu za waTanganyika inawarudia wao wenyewe🤔?
Baada ya hapo niishie kusema nimegundua uzuri na ubaya wa ndoa unasababidhwa na wanandoa wenyewe,kwa uelewa wangu.
Dominomoja ikidondoshwa na nyingine zinafuata.