Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

hapi, yeye na chama chake walishindwa kukubali kuanza upya 2025, na chaguzi nyingi huko nyuma
1791024515653.png
 
Kuna baadhi ya watu hawawezi kuvumilia dharau mkuu yaani ni bora akae jela kuliko kumletea dharau yaani kwa mfano anakuonyeshea mchepuko wake waziwazi na ukimuuliza anakwambia amua la kufanya na ukicheki mmeshazaa watoto na mnamiliki mijengo na mali zingine na unawaza ukimuacha mtagawana mijengo halafu amlete mchepuko wake amzagamue humohumo ndani hapo ndipo akili hugeuka na kuwa ya kinyama
Hat Mimi nikiwa na Riaasi namfumua Tu

Unamuuliza hivi Mke wangu hata unayofanya unaona ni Sawa? Nakwambia I don't care, utajijua mwenyewe, Fanya unachoona.

Ulizingatia umepotea miaka zaidi ya 10 uko naye umewekeza muda, pesa na hisia hrafu anaonekana kutojali anataka ukaanze moja

😄😄😄Nakufumua vizuri Tu hata kisu
 
Kuna baadhi ya watu hawawezi kuvumilia dharau mkuu yaani ni bora akae jela kuliko kumletea dharau yaani kwa mfano anakuonyeshea mchepuko wake waziwazi na ukimuuliza anakwambia amua la kufanya na ukicheki mmeshazaa watoto na mnamiliki mijengo na mali zingine na unawaza ukimuacha mtagawana mijengo halafu amlete mchepuko wake amzagamue humohumo ndani hapo ndipo akili hugeuka na kuwa ya kinyama
Kwahiyo bora uende jela watoto wateseke?. Kwanini usiwe mjinga tu kwa ajili ya kesho ya watoto wako?. Baadae ukija kutoka jela ukute watoto wako wamekuwa machokoraa utafurahi au??. Au ukute watoto walienda kuishi na ndugu wakafanyiwa vitendo vya ajabu roho yako itasuuzika??
 
Muuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga 😂
Hata mimi nilitaka kuuliza mbona
Ifikie hatua wenye akiri timamu ndo waingie kwenye ndoa
Unafikiri huyo jamaa alikuwa hana akili? Silaha alikabidhiwa vipi wakati inajulikana kichaa hapewi rungu? Watu wote huwa wanaakili zinazowatosha kutimiza mahitaji yao ila wakichokozwa ndyipo wanabadilika sa na kuwa roho ngumu, huwezi juwa huyo mkewe kamuudhi nini.
 
Ila ndoa ni nyoko sana na picha za wapenzi mtandaoni tukiwaona wapo kwenye mitoko full tabasamu tunaona wanafaidi kumbe uozo mtupu

Nimefatilia account ya Facebook ya huyo mwanaume na mkewe kwakweli picha zao jinsi walivyo na furaha huwezi amini kama wamgefikia hapa aiseeee ndo maana tunaambiwa tusiyaamini maisha ya mtandaoni🥹🥹imenisikitisha hii
Account inaitwaje?
 
Mchaga kwake utu ni hela. Hata Mama mnamchukia kwa sababu kabana madeal yenu ya ujanja ujanja.
Samahani nje ya mada. Anyway tuwaombee maana hajawahi kuzaliwa bingwa wa mapenzi hapa duniani.
Underrated Psychological Torture Vs Overated Physical Violence. Tunatumia nguvu kubwa kuzuia ukatili wa kimwili na kuacha ukatili wa kiakili
List ya mafisadi. Umekaririshwa tumia akili.
 
Back
Top Bottom