Dawa ni kuoa multiple wivesHiyo ndo silaha yao ya kututawala wanaume. Ni jukumu letu wanaume kujifunza namna ya kuzihandle. Ukiangalia ukatili wa kijinsia hakuna psychological torture.
Inasiktisha sana ,nilichojifunza kwenye ndoa ,kwa mwanamme kama una endeshwa zaidi na hisia kuliko akili basi achana na kuoa au kumiliki "mguu wa kuku".Alikuwa mpole sana unajua mwezi huu wa kumi ni mwezi Lilith aliyemuasi Adam ni muda wake kudhoofisha ndoa kama hauko makini ndoa kuachika au mabalaa kama haya..
Duh imeanza lini hii mimi tangu niko mtoto hadi sasa hivi ni mtu mzima nilikuwa najua ndoa za kikristo hazina kuachana,au unaongelea madhehebu ya kina Mwamposa mkuu?Watu wanaachana kila siku. Tena wengine wanaenda kuoa tena hapo hapo kanisani.
Huyo angeweza kuuwa na silaha ya Aina nyingine yeyote au kwa kukaba koo.Hizi silaha wakati mwingine inakosekana hata maana ya kumilikisha watu.
Hawajihami dhidi ya majambazi wala vibaka,ni kutishia walevi bar na barabarani,kujiua wenyewe ama kama hivi.
Kunywa maji ulaleMalengo yapi wakati wewe ni nyumbu ,umezaliwa tu bila ya ruhusu yako
Kiufupi ,hapa duniani unafuata mkumbo
.Malengo yapi tena?
Una malengo yapi 🤣 unaota sio malengo ...Mtu haujui hata dakika moja mbele kama utakuwa hai eti una malengo...Kunywa maji ulale
Hao hao walatoliki kuna ndoa zinavunjwa. Pia kuachana sio lazima kanisa lithibitishe mnaachana tu kila mtu akaishi maisha yake.Duh imeanza lini hii mimi tangu niko mtoto hadi sasa hivi ni mtu mzima nilikuwa najua ndoa za kikristo hazina kuachana,au unaongelea madhehebu ya kina Mwamposa mkuu?
Huyo ana watoto alitakiwa awasomeshe nayo ni malengo ila Leo anajiandaa kwenda jela malengo yake hayaja potea?Una malengo yapi 🤣 unaota sio malengo ...Mtu haujui hata dakika moja mbele kama utakuwa hai eti una malengo...
Ntaachaje uongo. Hakuna watu wanaongoza Kwa kudefault mikopo kama waswahili Yani watu wa pwani. Kutwa wanachukuwa mikopo wanaendea kwenye shughuli na vijora. We ni mpuuzi tu usiejiamini na uliemeza Simu na umejawa husda. Tunawajua ila Kwa kuwa wengi wachaga ni Wacha Mungu mtaendelea kuwanyanyasa Kwa sumu hizi lakini Mungu atawaumbua tu nyie. Wamebarikiwa.Hata kwenye taasisi za fedha wanaongoza kukopa na kutokurejesha mikopo wanajulikana. Tuachane nayo tuendelee na mada husika
Ila kwa sasa vimeshamiri zaidiWanandoa hawajaanza leo kuuana yanatokea kila siku tangu enzi na enzi
Wachaga wanathamini mno mali kuliko utu! Ona sasa. Kutesa watoto tu! Hizo mali watoto wanaenda kudhulumiwa!Ila ndoa ni nyoko sana na picha za wapenzi mtandaoni tukiwaona wapo kwenye mitoko full tabasamu tunaona wanafaidi kumbe uozo mtupu
Nimefatilia account ya Facebook ya huyo mwanaume na mkewe kwakweli picha zao jinsi walivyo na furaha huwezi amini kama wamgefikia hapa aiseeee ndo maana tunaambiwa tusiyaamini maisha ya mtandaoni🥹🥹imenisikitisha hii
Havijashamiri ni rahisi kuvisikia tu kwa sababu ya Social Media.Ila kwa sasa vimeshamiri zaidi
Ukute alithibitisha pasina shaka kwamba hao watoto kibaolojia sio wa kwake
Wala! Mbona ni sawa tu!Tatizo, DNA!
Huyo mtoto aliyembeba, bila DNA ,hakuna majibu
Chaga city 😂HUO MTAA WAO! ... CHAGA TOWN IN DAR! 😅