mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kwanini upoteze malengo yako kisa mwanamke?
Hiyo ndo silaha yao ya kututawala wanaume. Ni jukumu letu wanaume kujifunza namna ya kuzihandle. Ukiangalia ukatili wa kijinsia hakuna psychological torture.Wanawake nao wanatakiwa waache Psychological torture.
Wanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji wao.
Kristo naye anasingiziwa mengi.Ndoa za wakristo huwa hazina talaka mkishaungana ni milele hiyo
Wengine wanataka the best of both worlds. Ana nyumba yake nyingine na maisha yake mengine ambayo nyie ndugu na majirani hamyajui, anakuja kweye hiyo nyumba ya ndoa ya kikristo kutalii, kushiriki shuguli za kijamii.Kristo naye anasingiziwa mengi.
Unakuta mume ana mpenzi wake, mke ana mpenzi wake, eti na wao ni hadi kifo kiwatenganishe kwasababu Kristo kasema! ! !
Embu tutokeeni hapa!
Hizo ndoa zao have nothing to do with Christ.
Wanazishikilia kwa maslahi yao binafsi, hasa kutotaka kugawana mali, mmoja hana uwezo wa kujitegemea,
na kuzoea maisha yao waliyojenga, yani kuna sehemu anapaita nyumbani, mume anarudi kuna watu, ndugu zake watakuja wakute naye ana mji, anarudi anakuta chakula, nguo zimefuliwa shuguli za kijamii (majirani, familia, shule) zinaenda.
So anaona kuparangua hayo yote kwasababu kagundua mke / mume ana mpenzi wake anaona afumbe macho amuache aendelee tu na yeye aendelee na yake,
destination unknown! !
Umri wa kuingia katika ndoa, inatakiwa wote wawe wameachana na ya dunia. Jifikirie hata na wewe 35-45 ulivyokuwa moto wa kuotea mbali. Halafu unakuta mke ashazaa watoto 6. Mambo hayaendi na michepuko ndiyo inapamba moto.Lakini mbona hao wanaonekana tayari ni watu wazima
Labda wameshindwa kuvumiliana kwenye usaliti na unyanyasaji
Ama mume atakuwa aligundua mkewe anataka kummaliza kwaajili ya Mali
Ndoa zina mambo mengi
Malengo yapi tena?Kwanini upoteze malengo yako kisa mwanamke?
Unawatambua kwa MATENDO mkuu.Hawatambuliki wale VIPENYO. Mimi sio mmoja wao
Unadhani unapokerwa na maneno ya jeuri huo muda wa kuwaza hayo maswali unakuwa nao?hiyo inakuwa ni ghafla hapo kwa hapo mkuuKwahiyo bora uende jela watoto wateseke?. Kwanini usiwe mjinga tu kwa ajili ya kesho ya watoto wako?. Baadae ukija kutoka jela ukute watoto wako wamekuwa machokoraa utafurahi au??. Au ukute watoto walienda kuishi na ndugu wakafanyiwa vitendo vya ajabu roho yako itasuuzika??
Ukishakuwa mzazi inabidi usiwasahau watoto wako hata ikiwa una hasira kiasi gani.Unadhani unapokerwa na maneno ya jeuru huo muda wa kuwaza hayo maswali unakuwa nao?hiyo inakuwa ni ghafla hapo kwa hapo mkuu
Kristo naye anasingiziwa mengi.
Unakuta mume ana mpenzi wake, mke ana mpenzi wake, eti na wao ni hadi kifo kiwatenganishe kwasababu Kristo kasema! ! !
Embu tutokeeni hapa!
Hizo ndoa zao have nothing to do with Christ.
Wanazishikilia kwa maslahi yao binafsi, hasa kutotaka kugawana mali, mmoja hana uwezo wa kujitegemea,
na kuzoea maisha yao waliyojenga, yani kuna sehemu anapaita nyumbani, mume anarudi kuna watu, ndugu zake watakuja wakute naye ana mji, anarudi anakuta chakula, nguo zimefuliwa shuguli za kijamii (majirani, familia, shule) zinaenda.
So anaona kuparangua hayo yote kwasababu kagundua mke / mume ana mpenzi wake anaona afumbe macho amuache aendelee tu na yeye aendelee na yake,
destination unknown! !
Alikuwa mpole sana unajua mwezi huu wa kumi ni mwezi Lilith aliyemuasi Adam ni muda wake kudhoofisha ndoa kama hauko makini ndoa kuachika au mabalaa kama haya..Alikuwa HR au siyo? Sura yake ni ya UPOLE sana ,sijui nini kilitokea.
Ni sahihi, ndoa inahitaji watu wenye akili za utuuzimaUmri wa kuingia katika ndoa, inatakiwa wote wawe wameachana na ya dunia. Jifikirie hata na wewe 35-45 ulivyokuwa moto wa kuotea mbali. Halafu unakuta mke ashazaa watoto 6. Mambo hayaendi na michepuko ndiyo inapamba moto.
Hii ndo utamaduni wa hapa Bongo,watu wanaoa/ kuolewa ili kuweka heshima kwenye jamii lakini muda huo huo wanaendelea na maisha yao na wapenzi wao wengine. Ile kujitoa kwa asilimia 100 kwa ajili ya ndoa hawataki,cha muhimu ndoa kwenye makaratasi ionekane ipo hata kama mioyoni haipo. Na jamii yetu haiangalii ndoa ina hali gani, cha muhimu msiachane. Ndo maana kauli za " vumilia,ndoa ndo zilivyo,hakuna mwanaume/ mwanamke wa peke yako" zimetamalaki.Wengine wanataka the best of both worlds. Ana nyumba yake nyingine na maisha yake mengine ambayo nyie ndugu na majirani hamyajui, anakuja kweye hiyo nyumba ya ndoa ya kikristo kutalii, kushiriki shuguli za kijamii.
Ubachela anataka. U husband anautaka.
Huyu naye mtasingizia Kristo kasema hadi kifo kiwatenganishe.
Toka Bwana!
😳😳😳.Kwa hyo wewe unaishi tu kama nyumbu!?Malengo yapi tena?
Malengo yapi wakati wewe ni nyumbu ,umezaliwa tu bila ya ruhusu yako😳😳😳.Kwa hyo wewe unaishi tu kama nyumbu!?
Watu wanaachana kila siku. Tena wengine wanaenda kuoa tena hapo hapo kanisani.Ndoa za wakristo huwa hazina talaka mkishaungana ni milele hiyo
UONGOMkuu hayo mengine mimi sijui mimi ninachoongelea hapa ni kwamba ndoa zilizofungwa kanisani hazina talaka na sio mimi niliyotunga hayo