Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Sababu inaweza kuwa hiyo ama fumanizi tuUsikute sababu ya kufikia maamuzi hayo ni baada ya mchizi kujua hao watoto sio wakwake.
Unajua hizi simu zetu, dakika 1 tu zimekuchoma
Wanandoa wenzangu, tujitahidi kutulia kwenye ndoa zetu
Shetani yupo busy kukuonesha Wakaka wazuri kuliko mumeo ama wadada warembo kuzidi mkeo, lakini ikitokea ukaishi naye huyo nyumba moja kwa siku 365, hutaacha kumtoa kasoro
Tuvumiliane hata kama mumeo ni mtu wa sekunde 29