Spectrophotometry
Member
- Aug 2, 2026
- 51
- 101
Mambo yakiwa mengi muachie mwanamke nyumba abaki na watoto wako wewe mwanaume nenda kaanze upya furahia maisha yako.
Punguza jazba basi, wamekusikia.Ndugu yako anatekwa, watekaji unawajua na simu wanakupigia, ila unaishia kumtumia taarifa Twaha Mwaipaya
Unakosana na mke wako unaamua kumuua.
Matumizi yake yote naona ******* sana ya hasira nimekuwa nikiyaona kwa waTanzania.
Ale mvua ya miaka ya kutosha, kukomosha ushenzi huu.
Mnamsamehe Mafwele kila siku alafu mnashindwa kuwasamehe wake zenu, ******* nyie
Ni msenge
Mmh... kutokuwa nazo ndiyo tatizo,maana hasira ni hisia ya asili. Kwa kiwango kupitiliza inaweza kuwa shida.Yah n moja ya sifa za mtu mwenye ugonjwa wa akili
Nimeona mke alikuwa ni mashine mnato. Inasikitisha sanaHiyo ya mwanaume
Kwa hiyo mtu akiwa na short temper ana changamoto ya akili mkuu?Ndio kukoswa akili timamu huko. Utimamu ni pamoja na kuweza kuzitawala hisia zako na kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
Upo sahihi lakini Kuna hako kajamaa kanaitwa dini Sasa. Utasikia " tutaishi kwa shida na raha mpaka kifo kitutenganishe"Kila siku huwa nasema, ndoa ikishafikia hatua ya wahusika kutoelewana, ni kheri kupeana space, na maisha mengine yaendelee, kuliko kubaki kwa kusema watoto watateseka, mali tutagawana, mwisho wa siku ndio kuishia km hivi.
Kuoa na kuolewa ni hiyari, sio lazima wala jinai.
Unafiki wa kutaka kuiridhisha jamii, ndio matokeo yake haya, na hiyo jamii inabaki kuwalaumu tena wenyewe.
Hapo mpaka umpate mtu anayewajua au mwandishi wa habari za uchunguzi kama Ile case ya jamaa alomchoma mkewe kule kigamboniHuyu dada alopigwa risasi amefanya kosa gani?
Ndio.Kwa hiyo mtu akiwa na short temper ana changamoto ya akili mkuu?
Hao ni wachaga
Nimenote kitu
There you're! Mimi ni muumini wa ndoa, watu (mwanaume na mwanamke) waliokidhi vigezo kuishi pamoja katika ndoa maana ndio msingi wa familia na taifa bora.Kwahyo ndoa inakengeusha
Wachaga kwa kuuana tu.huo mtaa umejaa wachaga tu kuanzia mwenyekiti wajumbe na wananzengo wanaozunguka mtaa hadi ocd,na hakimu wa wilaya hiyo
Commitment hawataki na kubaki bachelor hawataki.Kila siku mi nazungumzia humu tabia ya watu kujifanya wanaoa/wanaolewa halafu wanaendelea na maisha yao mengine.
Kama mtu huwezi commitment baki bachelor wala sio kosa la jinai. Matatizo mengi ya ndoa yanaanzia kwenye kukosa commitment, Uchepukaji, kuficha mali, kutokushiriki kuzalisha mali za familia, kiburi, dharau, majivuno etc etc. Yote yana chanzo kimoja tu.
Ndoa inapaswa kuendeshwa kwa mapenzi na choice!
Baadhi ya mali zitauzwa; Watafunguliwa trust fund ambayo itatumika kuwasomesha mpaka university. Atateuliwa ndugu wa kuishi na watoto mpaka hapo watakapojiweza wenyewe. Kwa kipindi chote hicho baba atakuwa jela kutumikia kifungo.Hao watoto Watakuwa kwa Taabu sana Psychologically , Especially huyo mkubwa na kama watakulia mazingira ya hapa Bongo , watakuwa stigmatized then Traumatized , Sijui hatua gani zinachukuliwa kuwalea watuto hao Kisaikolojia
Nadhani sio kweli, short temper no hali ya kawaida kwa binadamu, its a normal human personality. Ni kama mwingine anavyokuwa mkimya, mpole, muongeaji nk.Ndio.
Watu wakifikia hatua ya kutoelewana, wengine huwa wanasema wabaki kuishi pamoja ili watoto wasiteseke ila kiuhalisia watoto huwa wanateseka humo humo ndoani. Unakuta wazazi wanapigana mbele ya watoto,unakuta mama anatukanwa mbele ya watoto, wazazi wanalewa mbele ya watoto,wazazi ngumi zinazidi hadi wanachaniana nguo na kubaki uchi mbele ya watoto. Hapo watoto hawateseki??. Ndio maana kuna msemo unasema" kama unawapenda watoto wako,mpende mke/ mumeo kwanza". Kama upendo baina ya wazazi umeisha,watoto lazima wateseke haijalishi wazazi wameachana au wanaishi pamoja, na uzuri watoto hasa wadogo wana hisia za juu, wanafahamu kila kitu kinachoendelea hata wazazi wakikosana watoto wanajua bila hata kuambiwa. Ubora wa ndoa ukipungua, watoto lazima waathirike tu haijalishi.Hayo uliyoyaandika nimekuwa nikiyasema humu kwa miaka 20 sasa!
Cha ajabu, kuna watu wengi tu humu walikuwa hawanielewi.
Hoja yao eti ‘utaachana na wangapi’ au ‘watoto watalelewa na nani’.
Nafurahi kuona kumbe mpo na wengine wenye common sense kama mimi.
Mapenzi ni hiari ya wahusika. Wawe wawili au zaidi ya wawili.
Wakishindwana, jambo la busara ni kuachana tu kila mtu achukue hamsini zake kwa amani akaendelee na maisha yake.
Hakuna kabisa sababu ya kusitisha maisha ya mtu kisa mapenzi.
Sasa huyo jamaa kayatupa maisha yake kiboya sana kwa hasira za muda mfupi tu.
Katandika kitanda chake mwenyewe acha akilalie sasa.
Haya mambo yatafanywa na ndugu wa kibongo au ndugu kutoka nchi gani??.Baadhi ya mali zitauzwa; Watafunguliwa trust fund ambayo itatumika kuwasomesha mpaka university. Atateuliwa ndugu wa kuishi na watoto mpaka hapo watakapojiweza wenyewe. Kwa kipindi chote hicho baba atakuwa jela kutumikia kifungo.
Sio rahisi kama hawajampokea Kristo Yesu mioyoni mwao. Afya ya akili ya mtu hususani uimara wa kudhibiti hisia kali unategemea sana Afya ya Kiroho ya mtu.Wanawake nao wanatakiwa waache Psychological torture.
Wanaume wanapitia mengi sana kwenye utafutaji wao.
Hizo dini pia ndo zinasema watu wawe waaminifu,wapendane,waheshimiane etc.Kama wanandoa wangefuata mafundisho yao ya kidini kuhusu ndoa,wangeishi vizuri tu hadi kifo kiwatenganishe. Shida wanachagua mafundisho ya kufuata na ya kutokufuata. Mfano mzuri fundisho la " usizini" watu wanajifanyaga hawalioni. Watu waache unafiki,kama ndoa yenu inaendeshwa kwa sheria za dini, basi fateni sheria zote,kama inaendeshwa kidunia basi ipelekeni kidunia kwenye kila kipengele. Sio mnaendesha ndoa mnavyotaka halafu yakiwashinda ndo mnakumbuka mstari wa " mpaka kifo kitutenganishe".ilihali mstari wa " usizini au usimtendee mwenzako usivyotaka kutendewa" hamkuukumbuka.Upo sahihi lakini Kuna hako kajamaa kanaitwa dini Sasa. Utasikia " tutaishi kwa shida na raha mpaka kifo kitutenganishe"
Hapo mpaka umpate mtu anayewajua au mwandishi wa habari za uchunguzi kama Ile case ya jamaa alomchoma mkewe kule kigamboni
Wanaume wengine wanawake(pisi Kali) ndio malengo yao mkuu. Dunia ina mengi sana hii.Kwanini upoteze malengo yako kisa mwanamke?
Lakini pia watu wamekuwa wapenda mali zaidi kuliko utu. Kama mume na make wamejenga nyumba Moja si ya kwao ? Wanagombea nn??Hizo dini pia ndo zinasema watu wawe waaminifu,wapendane,waheshimiane etc.Kama wanandoa wangefuata mafundisho yao ya kidini kuhusu ndoa,wangeishi vizuri tu hadi kifo kiwatenganishe. Shida wanachagua mafundisho ya kufuata na ya kutokufuata. Mfano mzuri fundisho la " usizini" watu wanajifanyaga hawalioni.
Watueleze sasa.Lakini pia watu wamekuwa wapenda mali zaidi kuliko utu. Kama mume na make wamejenga nyumba Moja si ya kwao ? Wanagombea nn??