Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,797
- 15,762
KabisaUkifa ndiyo wanaanza angejua angeondoka tu,ingali ulipowataarifu hiyo dalili ya hatari walishauri vumilia 🚮
KabisaUkifa ndiyo wanaanza angejua angeondoka tu,ingali ulipowataarifu hiyo dalili ya hatari walishauri vumilia 🚮
Kwamba niache mali zangu nilizozihangaikia miaka yote kisha nikawe mpangaji tena kwenye gheto kama Genz?hilo haliingii akilini aiseekila siku mnakataliwa hamuelewi kisa anagari na nyumba muachie kila kitu we pitaaa we ni mwanaume na unajionea huruma utachekwa basi hapo baki ufe
Kwa mwonekano wake kakaa kama mtu wa SingidaHahahaha mbona wapo wazuri tuu, afu huko rangi nyeupe ni nyingi nyingi 🤔
Hawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.Nashangaa
Why ME wengi wanasupport hii kitu alofanyiwa dada
Ushasikia KE kafyatulia risasi ME?
Itike mahala wanaume mjitathmini,.hata nyie mna makosa mengi sana
eeh braza.... nimehuzunika kwakwel juu ya hili tukioKwa mwonekano wake kakaa kama mtu wa Singida
Kaka unauliza malengo gani kwenye ndoa? Kwani ndoa ina malengo gani zaidi ya ambayo ni well established, understood and agreed globally since the beginning of times!Inategemea umeungana na nani na kwa kuunganishwa na nani lakini muhimu zaidi kwa Malengo gani
Pole sana, chukulia poa, samehe tu.Duuh! Ila nawaelewa wanaofanya hivi, mie mwenyewe kuna kijana wa mtu lazima nimuue kwa mikono yangu.
Hamjui watu wanapitia yepi hadi kufanya hayo.
Hiii hatari kwa kizazi kijachoWait wait lady.Hakuna cha tunapoelekea,myaka ya nyuma pia mauwaji yalikuwepo tena ya kushangaza.Isipokuwa zamani matukio yalikuwa hayavumi kama sasa kitokana na reliability of social medias.
Labda useme mauwaji zamani yalikuwa baridi kiasi.Mtu anakufanyia kwenye kusudio,siku hizi popote tu ilimradi ulikuwa kwenye target.
Kikubwa tuishi kwa kumwamini BWANA wa MABWANA yeye anaweza.
Mkuu watu wana malengo yao tena kivyao vyao. Don't generalize!. Mtu anaingia kwenye Ndoa kwa malengo ambayo hayahusiani kabisa na hizo unazifikiri ndio SI units za Ndoa.Kaka unauliza malengo gani kwenye ndoa? Kwani ndoa ina malengo gani zaidi ya ambayo ni well established, understood and agreed globally since the beginning of times!
Malezi tu.Hiii hatari kwa kizazi kijacho
Sio rahisi hasa kwa mtu ambaye ni dhaifu kiroho!Tujitahidi kuzuia hasira zetu
Hili ni zitoWatu wakifikia hatua ya kutoelewana, wengine huwa wanasema wabaki kuishi pamoja ili watoto wasiteseke ila kiuhalisia watoto huwa wanateseka humo humo ndoani. Unakuta wazazi wanapigana mbele ya watoto,unakuta mama anatukanwa mbele ya watoto, wazazi wanalewa mbele ya watoto,wazazi ngumi zinazidi hadi wanachaniana nguo na kubaki uchi mbele ya watoto. Hapo watoto hawateseki??. Ndio maana kuna msemo unasema" kama unawapenda watoto wako,mpende mke/ mumeo kwanza". Kama upendo baina ya wazazi umeisha,watoto lazima wateseke haijalishi wazazi wameachana au wanaishi pamoja, na uzuri watoto hasa wadogo wana hisia za juu, wanafahamu kila kitu kinachoendelea hata wazazi wakikosana watoto wanajua bila hata kuambiwa. Ubora wa ndoa ukipungua, watoto lazima waathirike tu haijalishi.
Vipi Kama house girl kapangwa na alikua kipoozeo cha baba mwenye nyumba??Sasa house girl ameishi nao miaka 8 na alikuwa anasikia migogoro yao inahusu mali ww bado unapinga
Hiyo ya mwanaume
huyu kijana wangu sitamsamehe kamwe, nitamuua kwa mikono yangu.Pole sana, chukulia poa, samehe tu.
Ukiua utajiweka matatani. Yeye muda huo ameshajipumzikia zake.
Halafu sura hata haijakaa kikatili
Alikuwa mtata sana mtaani si ndiyo?? Maana kumwaga ubongo wa kichwa sio poa inahitaji moyoNdio maana nkasema huyu jamaa namfahamu maana ni nyumbani kabisa aisee .