Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Kumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Jamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe.Jamaa naye akaenda zake Moshi.Dada kurudi juzi, majirani wakampigia simu, mkeo karudi, jamaa katoka moshi, kapanda chuma cha usiku, anaingia kwake saa 11 asubuhi.Kakuta dada wa kazi anaandaa watoto kwenda shule, kauliza mama yuko wapi kaambiwa chumbani, kwenda huko kilichotokea hakijulikani, milio ya risasi ikaunguruma.Jamaa katoka kaenda kwa dada wa kazi, kamuambia nimeishamalizz kazi yangu kaenda zake kawe kituoni kujisalimisha, Dada ndo kwenda chumbani kakuta jamaa kafumua kichwa
Mambo haya ...mtu kashazoea kujiweka status kua yeye wako na pesa na Ile kukaa na marafiki kujimwambafai na mashosti una hela, mume ana hela, kujiweka status Instagram na TikTok, mwenzio kayumba kidogo , badala u play a role as a loving wife and supporting wife kama ambavyo alikua anafanya hivyo kwako, wewe ndio unamuongezea matatizo, halaf eti unataka kuuza Mali ambazo watoto ndio mnawatengenezea kesho yao, halafu unaondoka nyumbani mwezi mzima, watoto hujui wanakula nini ama vipi, aise inahitaji moyo wa kipekee sana kutokuua. Tena ANARUDI na kujilalia zake, watoto wanaandaliwa na dada wa kazi
Mimi kama nisingeua basi ningemchukua dada wa kazi kama mke mpya
 
Wale waliokuwa wanawaambia " msiachane watoto watateseka" ikitokea tukio kama hili na wenyewe wanaanza kusema" bora mngeachana kwa amani kuliko sasahivi mama kaburini baba jela, watoto watalelewa na nani??"" Mwanandoa mwenzako akianza kukupiga matukio magumu jamani ni bora kukaa mbali nae hasira zipoe. Huyu baba inaonekana hakudhamiria kumuua mkewe ndo maana kaenda kujisalimisha polisi kabisa, hapa unakuta ni makwazo ya miaka mingi yamejaa moyoni, siku ukikasirishwa kidogo tu unalipuka unafanya tukio ambalo hukutegemea.
Umenena vema mkuu.
Kuna unafiki miongoni mwetu.
Kuna muda unaona kabisa ni bora ndoa ivunjike kuepuka mambo kama haya, lakini kuna viumbe hujifanya malaika wanatoa ushauri mmoja tu kulinda ndoa hata kama ndoa yenyewe imesalitiwa kiasi cha kutosha.
 
Tupambane mkuu, tukimtanguliza Mungu mbele, tutafika!
Huyu jamaa kama nilisikia story yake, clouds FM Asubuhi.

Nilisikia kwamba walikuwa na nyumba ambayo hati imeandikwa majina ya watoto na ya WAZAZI wote, yaan mume na mke.


Wakasema pia mke akaanza taratibu zakubadilisha majina ya umiliki amtoe mume,

Kesi ilikuwa mahakamani, wakati kesi ikiwa mahakamani mwanaume akapata taarifa kuwa mke wake amejenga nyumba kigamboni akatafuta ushahid akauleta mahakamani

Kwa lengo nayeye akitaka wagawane hiyo nyumba ya kigamboni.

Then walimuhoji house girl wao alikuwa wameishi nae Kwa miaka nane alisema kuwa walikuwa wanamigogoro ya kimya kimya
Ndipo siku ya siku mwanaume kamshuti mwanke

Wanaume tunapitishwa kwenye motooo saana
 
Nashangaa
Why ME wengi wanasupport hii kitu alofanyiwa dada
Ushasikia KE kafyatulia risasi ME?
Itike mahala wanaume mjitathmini,.hata nyie mna makosa mengi sana
Hawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.
Jiulize kwa nini kwenye nyumba nyingi kuna wajane wa kike lakini hakuna wajane wa kiume
 

Attachments

  • Screenshot_20261003_234115_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20261003_234115_WhatsApp.jpg
    133.2 KB · Views: 11
Kumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Sasa utaje usitaje Kila kitu si kipo hadharani Mzee, wewe mtu umemjua hapa na story za vijiweni huko halafu unajidai kuweka code wakati jamaa anafahamika long time kitambo
 
Back
Top Bottom