Huogopi nyuma ya nondo?huyu kijana wangu sitamsamehe kamwe, nitamuua kwa mikono yangu.
Hujui huyu kaka hadi kufanya hivyo ilikuaje au chanzo nini.
Huogopi nyuma ya nondo?huyu kijana wangu sitamsamehe kamwe, nitamuua kwa mikono yangu.
Hujui huyu kaka hadi kufanya hivyo ilikuaje au chanzo nini.
Utotoni huko , Miaka mingi sijawahi muona tenaAlikuwa mtata sana mtaani si ndiyo?? Maana kumwaga ubongo wa kichwa sio poa inahitaji moyo
UMemaliza😂Muuliwa mchaga, muuaji mchaga, mwenyekiti mchaga 😂
Hii ndo habari niliopata asubuhi nashangaa watu humu wanaomgea vingine.. na kuna sms zimeonekana alikua anamwambia mwanasheria kuhusu talakaKumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Jamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe.Jamaa naye akaenda zake Moshi.Dada kurudi juzi, majirani wakampigia simu, mkeo karudi, jamaa katoka moshi, kapanda chuma cha usiku, anaingia kwake saa 11 asubuhi.Kakuta dada wa kazi anaandaa watoto kwenda shule, kauliza mama yuko wapi kaambiwa chumbani, kwenda huko kilichotokea hakijulikani, milio ya risasi ikaunguruma.Jamaa katoka kaenda kwa dada wa kazi, kamuambia nimeishamalizz kazi yangu kaenda zake kawe kituoni kujisalimisha, Dada ndo kwenda chumbani kakuta jamaa kafumua kichwa
Nishajipanga kwa hilo, kuna kitu nikishaweka sawa, sitakua na cha kupoteza tena.Huogopi nyuma ya nondo?
Ushauri wa kumwachia mali nwanamke ni mzuri ila hautekelezeki.. inahitaji ujasiri mkubwa na ufala uliopindukia.Kwamba niache mali zangu nilizozihangaikia miaka yote kisha nikawe mpangaji tena kwenye gheto kama Genz?hilo haliingii akilini aisee
😢😢, pole sana.Nishajipanga kwa hilo, kuna kitu nikishaweka sawa, sitakua na cha kupoteza tena.
Si ndio wanaropokaga,,niue niue kama we mwanaume...Alikuwa mtata sana mtaani si ndiyo?? Maana kumwaga ubongo wa kichwa sio poa inahitaji moyo
Mwanaume mzima kabisa unamtakia mwanaume mwenzio "huna muonekano" au ndio beki hazikabiHuna muonekano alafu unataka mademu wakali lazima ugongewe
Hii mbona ilishajulikana toka mda asubuhi alipohojiwa mdada wa kazi.Kumbe za ndani, mwamba na huyo dada wote familia bora.Huyo jamaa familia yake kila mtu anaifahamu nikiitaja, wana kiwanda n.k
Jamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe.Jamaa naye akaenda zake Moshi.Dada kurudi juzi, majirani wakampigia simu, mkeo karudi, jamaa katoka moshi, kapanda chuma cha usiku, anaingia kwake saa 11 asubuhi.Kakuta dada wa kazi anaandaa watoto kwenda shule, kauliza mama yuko wapi kaambiwa chumbani, kwenda huko kilichotokea hakijulikani, milio ya risasi ikaunguruma.Jamaa katoka kaenda kwa dada wa kazi, kamuambia nimeishamalizz kazi yangu kaenda zake kawe kituoni kujisalimisha, Dada ndo kwenda chumbani kakuta jamaa kafumua kichwa
Ahsante.😢😢, pole sana.
Hiyo silaha ni kisingizio tu,Juzi kuna mtumishi ametoka kumunyonga Mke wake Mwalimi mpaka kifo huko Mkoani Singida.Hizi silaha wakati mwingine inakosekana hata maana ya kumilikisha watu.
Hawajihami dhidi ya majambazi wala vibaka,ni kutishia walevi bar na barabarani,kujiua wenyewe ama kama hivi.
Kwa mtiririko huu risasi moja haimtoshiJamaa uchumi uliyumba, kapata frustration akapigwa na kisukari.Demu kawehuka kaanza kuomba talaka na kutaka kuuza mali - jamaa kagoma anamwambia mali za watoto.Dada kiburi kikajaa, kaanza kuzingua, aliondoka nyumbani mwezi mzima hayupo huyo dada, anakolala anajua mwenyewe
Kama utashindwa kabisa kumsamehe, na umedhamiria kumuondoa, ni vizuri usiache ushahidi utakaopelekea wewe kuswekwa ndani.Ahsante.
Na ndugu wengi sikuhizi walivyo wabinafsi, nawaonea huruma hao watoto 😔 Strong ladgAu ukute watoto walienda kuishi na ndugu wakafanyiwa vitendo vya ajabu roho yako itasuuzika?
Nitamuua nikishahakikisha kafa kabisa, naenda mwenyewe kujisalimisha polisi, hata wasisumbuke kunitafuta.Kama utashindwa kabisa kumsamehe, na umedhamiria kumuondoa, ni vizuri usiache ushahidi utakaopelekea wewe kuswekwa ndani.