Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Changamoto ni kwamba namna ya kuhendo maudhi ndo shida ilipo,hiyo hata Baba Levo amewahisema kuwa wanawake wawe makini sana,hii yakuudhi watu halafu unajua utaonewa huruma,mtu atapotezea tu,siyo wote, mwingine atakusamehe tu uende, mwingine atakuadhibu kwa namna yake.Mfano sasa kama ikitokea na ambapo inatokea,umelea watoto ambao siyo wako,tena labda wanne wote,umekuta voice zinakusema vibaya,na umekuja kujua kwa jitihada zako mwenyewe na ukakuta mwanamke anashawishiwa na huyo aliyemzalisha aombe TALAKA ili mgawane mali,wakaishi kwa furaha,hapo reaction yake ni untellable.
Mali zinatafutwa achana nae gawaneni mali kama anavotaka ila usimdhurumu uhai. Wacha aende maisha yapo hata baada ya yeye.
Alafu baba mwenye akili unamwambia chukua vyote unavyopenda hata akuanue kama anaenda na familiaaa usigwaee acha aende kuna methali inaitwa
TIME WILL TELL
 
Mimi nakaribia kuzeeka na tangu niko mdogo nimeshuhudia wanandoa wa kikristo wakiburutana miaka na miaka lakini si kuachana.
Na wapo wengine ambao walikuwa wanatengana juu kwa juu na kila mmoja anaenda kuishi na mchepuko wake lakini kanisani bado wanahesabika ni wanandoa ndio maana nikaconclude kuwa ndoa za kikristo hazina kuachana
Kama ndoa iko beyond repair kuna taratibu zinafuatwa na ndoa inatenguliwa kama kawaida.
 
Hana akili hata kama alikua anamtesa asingetoa uhai wake!!!
Angemgonga moja ya unyayoni alafu anapomuuguza ndo amuelekeze kuwa mmbo uliyokuwa unayafanya mimi nilikua siyapendi na ukipona kwenu!!!!

Simple like that!!!!
Mwanaume ukiua mwanamke kwa sababu ya mahusiano wewe ni dhaifu na unatakiwa kufirwa tuu!!!
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Umpige risasi ya mguu ajiuguze akipona anakuwekea sumu kwenye chakula kwisha habari yako
Ukisoma mpaka mwisho ndo utajua.
Nmesema unapomuuguza unampa cancelling za kutosha akipona si anarudi kwao utakaa nae na wewe kwa akili zako!?😂😂😂😂😂😂
Unampa adhabu ya kutafakari ujinga wake akiwa kwaoooo ila usiue bwanaaa mi mtu wa mungu sipendagi hayo kabisa
Kwa hiyo umwambie mwanamke wa kichaga arudi kwao halafu akusikilize?mwanamke wa kichaga wanakula viapo ukishamuoa na kumzalisha huyo ni wako humtoi hata kwa dawa gani piga ua garagaza
 
Kuna watu ukiwaangalia unaona kabisa ili kupendwa wananya jitihada na uwekezaji mkubwa.
Huku kwa wadada na ukiwaona wapo kwenye mahsiano, ujue wanaingia wakiwa na kifurushi, sasa inabidi mtu ajue huwa wanaingia eakiwa wamelikatia hilo penzi kifurushi cha bei gani, maana kikijata tu, hakuna kitakachoendelea, no matter jsmaa ali invest kiasi gani kumpata
Hakika kabisa.
 
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Umpige risasi ya mguu ajiuguze akipona anakuwekea sumu kwenye chakula kwisha habari yako

Kwa hiyo umwambie mwanamke wa kichaga arudi kwao halafu akusikilize?mwanamke wa kichaga wanakula viapo ukishamuoa na kumzalisha huyo ni wako humtoi hata kwa dawa gani piga ua garagaza
kila siku mnakataliwa hamuelewi kisa anagari na nyumba muachie kila kitu we pitaaa we ni mwanaume na unajionea huruma utachekwa basi hapo baki ufe
 
Back
Top Bottom