Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mali zinatafutwa achana nae gawaneni mali kama anavotaka ila usimdhurumu uhai. Wacha aende maisha yapo hata baada ya yeye.
Alafu baba mwenye akili unamwambia chukua vyote unavyopenda hata akuanue kama anaenda na familiaaa usigwaee acha aende kuna methali inaitwa
TIME WILL TELL
 
Kama ndoa iko beyond repair kuna taratibu zinafuatwa na ndoa inatenguliwa kama kawaida.
 
Sio rahisi hivyo unavyodhani.
Umpige risasi ya mguu ajiuguze akipona anakuwekea sumu kwenye chakula kwisha habari yako
Kwa hiyo umwambie mwanamke wa kichaga arudi kwao halafu akusikilize?mwanamke wa kichaga wanakula viapo ukishamuoa na kumzalisha huyo ni wako humtoi hata kwa dawa gani piga ua garagaza
 
Hakika kabisa.
 
kila siku mnakataliwa hamuelewi kisa anagari na nyumba muachie kila kitu we pitaaa we ni mwanaume na unajionea huruma utachekwa basi hapo baki ufe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…