Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,626
- 2,961
Lengo ilikuwa ni kujenga familia. Lakini kama imefika mahali hakuna amani wala maelewano ndani ya ndoa kwa nini mlazimishe kuendelea kuishi pamoja? Watu wangapi wameachana na maisha yakaendelea?Kwa hiyo tulijenga nyumba ili tugawane au ili kujenga familia?
BWANA WENU KOKI!! KOKI!! KENGE MAFUTA YA KULAπππ.Linda mgongo wako we jamaa
Usi-base kwenye maneno ya mitandaoni. Tena wewe ndiyo kwanza nakusikia unasema kuwa mwanaume alikuwa anaumwa. Mambo yaliyokuwa yanafanyika kwenye ndoa yao wanajua wao.No matter what yaan usubiri mumeo aumwe wewe uanze kudai talaka? Uombe majina ya hati yawe yako ns watoto wako.stupid
Yote haya ni mambo ya mtandaoni, au mwenzetu ni mwana familia?kuna uzi upo humu ndani unaeleza haya.Binti alikua analazimisha majina yaandikwe yake na mtoto kwa kisingizio alinunua yeye kiwanja, swali linakuja unaponunua kiwanja hati ya manunuzi jina linaandikwa lako.Why liliandikwa jina tofautiUsi-base kwenye maneno ya mitandaoni. Tena wewe ndiyo kwanza nakusikia unasema kuwa mwanaume alikuwa anaumwa. Mambo yaliyokuwa yanafanyika kwenye ndoa yao wanajua wao.
Ishu ni kwamba wanawake wakishaona kuna mahali wanaanzisha migogoro kwa makusudi ili lengo apate mgao wa mali sasa binadamu wa sasa si kama wale wa enzi zile matokeo yake ndio hayo sasaNi wangapi wanakuwa na kila kitu ndipo waoe?
Lengo ilikuwa ni kujenga familia. Lakini kama imefika mahali hakuna amani wala maelewano ndani ya ndoa kwa nini mlazimishe kuendelea kuishi pamoja? Watu wangapi wameachana na maisha yakaendelea?
Upo sahihi mkuuuSioni justification yoyote ya kumuua huyo Dada.
Kwenye mitandao hiyo hiyo inaelezwa kuwa Hati ina majina ya wote wawili. Ndiyo sababu nikasema kama mwanamke alikuwa anataka kuondoa jina la mwanaume au kudai talaka kuna taratibu za kufuatwa. Pia inadaiwa alikuwa ameshawasiliana na mwanasheria ila bahati mbaya walipanga kukutana siku ambayo huyo binti ameuawa.Yote haya ni mambo ya mtandaoni, au mwenzetu ni mwana familia?kuna uzi upo humu ndani unaeleza haya.Binti alikua analazimisha majina yaandikwe yake na mtoto kwa kisingizio alinunua yeye kiwanja, swali linakuja unaponunua kiwanja hati ya manunuzi jina linaandikwa lako.Why liliandikwa jina tofauti
Kama ndoa ina amani na furaha hakuna mwanamke from no where anapenda kuanzisha tu ugomvi ili eti mgawane mali!!! Kwa sababu hizo mali ni zenu wote.Ishu ni kwamba wanawake wakishaona kuna mahali wanaanzisha migogoro kwa makusudi ili lengo apate mgao wa mali sasa binadamu wa sasa si kama wale wa enzi zile matokeo yake ndio hayo sasa
πππ nyie watu, alooohMtoto wa dada yangu mara tu alipoanza kuinuka kimaisha Alitaka kumuoa mchaga,,,ila sisi kama familia tuliingilia kati na tukamfurusha huyo mwanamke, na tukampiga marufuku na tukamuahidi sisi ndio wamakonde ukileta ubishi tusilaumiane...
Wanawake wanatakiwa wasisitizwe kuwa tuko tofauti na reactions ziko tofauti miongoni mwetu.Wajue hilo kuwa ukimfanyia mwanaume ushenzi,usitarajie awe mwema kwako na kama ikitokea akawa mwema ni bahati.Mali zinatafutwa achana nae gawaneni mali kama anavotaka ila usimdhurumu uhai. Wacha aende maisha yapo hata baada ya yeye.
Alafu baba mwenye akili unamwambia chukua vyote unavyopenda hata akuanue kama anaenda na familiaaa usigwaee acha aende kuna methali inaitwa
TIME WILL TELL
Uyu Rebeka anaongea sana.Kumbe chanzo ni kugombania mali, mwanamke alikua anataka mali ikiwemo nyumba iandikwe kwa jina lake na watoto pekee.
Duuuh.View attachment 3683111View attachment 3683112View attachment 3683113
Ndugu zako wa kusini hao. Majirani kabisa.πππ nyie watu, aloooh
Na aliyereply comment yangu msukuma π
Dah n noma πππ
Jina la dada wa kazi limetajwa, naona naye ni wa huko huko uchagani...
Nini tena wewe mngoni?πππ nyie watu, aloooh
Ila kuhongwa unakubali?Halafu wao wanaona sawa tu!!! Eti mwanamke naye ni mali ya mwanaume!!!! Mimi ndiyo sababu huwa napinga sana kuhusu mwanamke kutolewa mahari!! Wanaume wanaona ni kama ANAMNUNUA Mwanamke kwa hiyo anakuwa ni sawa na ng'ombe, mbuzi, gari na kitu chochote mwanaume anachomiliki!!! Ataku-treat the way he likes!!!! Shit!!!!!!
Anzisha kampeni nzito na ya wazi kuonesha kwamba unapinga Mwanamke kutolewa mahariHalafu wao wanaona sawa tu!!! Eti mwanamke naye ni mali ya mwanaume!!!! Mimi ndiyo sababu huwa napinga sana kuhusu mwanamke kutolewa mahari!! Wanaume wanaona ni kama ANAMNUNUA Mwanamke kwa hiyo anakuwa ni sawa na ng'ombe, mbuzi, gari na kitu chochote mwanaume anachomiliki!!! Ataku-treat the way he likes!!!! Shit!!!!!!
Wanaohonga wanakuwa wamekubaliana na hao wanaohongwa.Ila kuhongwa unakubali?