Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Watoto wakikua walikuwa wanajiunga na familia za baba halisi bila mzozo mkubwa kwa familia ya baba wa awali.
Lakini wengine walikuwa wanachukuliwa jumla. Kikwete huwa tunasema Okuw'idale, yaani huyo wa nje anakuwa kama ng'ombe mzururaji akikutana na kundi kubwa la ng'ombe linampitia. Au kwa maana nyingine ile mahari iliyolipwa ndiyo inamkusanya na huyo anakuwa mtoto wa familia hiyo!
 
Watu wanarahisisha mambo!!!!!
Hao watoto wanaenda kuanza maisha mapya kuanzia sasa.
Asante dada, tena maisha ya shida! tuliopitia uyatima utotoni tunayajua haya! Sisi tangu siku mama amewekwa.kaburini hatukuona ndugu wa kutushika mkono au kutusimamia! Ni shida tupu. Kuna watoto wa shemeji yangu waliachwa vizuri sana yaani walikuwa wanaogelea kwenye utajiri, ndugu alivyokuwa kuwageuka mpaka wakabaki omba omba mtaani. Na aliyewafanyia hayo ni mama yao mdogo. Mungu naye si athuman na karma huwa haicheleweshi akapigwa upofu mpaka ameenda kaburini.
 
Wachaga wanathamini mno mali kuliko utu! Ona sasa. Kutesa watoto tu! Hizo mali watoto wanaenda kudhulumiwa!
Tatizo la Wachaga Hawaoi wake wengi, ingekua huyu Mwanaume ana wake wawili au watatu wala asinge waza kuua yeye angehamia kwa mke mwengine, Wazee waliokua na Uchumi mzuri walioa Wake wengi na kila mke anakua na mji wake mfano huyu jamaa angekua na Wake wawili inamaa mke mkubwa angeishi Bunju na Mke mdogo angeishi Kibaha kwahiyo mke mkubwa akizingua unaenda kuishi kwa mke mdogo
 
Dar ndoa nyingi zinapumulia mashine,Dar ni mji wa starehe watu wameendekeza starehe ndiyo vyanzo vya kusalitiana na tamaa za kipuzi tu watu hufikia kuachana kumbe kuna mtu anampa starehe kazi kweli kweli
Yule tajiri wa mwanza aliyemuoa mke wake unasemaje naye,yule wa miscall 100
Alafu yule mfanyabiashara wa samaki maarufu huko pia buswelu naye si aliua mke wake kwa bomba naye akajiua
Haya mambo hayana cha dar dom arusha popote yanatokea mazee

Ova
 
Mali zitawamaliza nyie wanawake, yani nisote miaka 10-15 nijipate , nikuoe halafu uanze kukitembeza kwa hao vijana wa gym sijui bodaboda, mara workmate 😀😀😀

Aloo nitaanza na hao halafu namalizia kwako halafu nawala nyama shenzi kabisa
 
Kwa urembo huo wa huyo mke lazima wivu wa mapenzi uhusike
Wala siyo wivu wa mapenzi. Inasemekena ni nyumba ndiyo imeleta kizaazaa!
Screenshot_20261004-153950_Opera News.jpg
 
Watu wakifikia hatua ya kutoelewana, wengine huwa wanasema wabaki kuishi pamoja ili watoto wasiteseke ila kiuhalisia watoto huwa wanateseka humo humo ndoani. Unakuta wazazi wanapigana mbele ya watoto,unakuta mama anatukanwa mbele ya watoto, wazazi wanalewa mbele ya watoto,wazazi ngumi zinazidi hadi wanachaniana nguo na kubaki uchi mbele ya watoto. Hapo watoto hawateseki??. Ndio maana kuna msemo unasema" kama unawapenda watoto wako,mpende mke/ mumeo kwanza". Kama upendo baina ya wazazi umeisha,watoto lazima wateseke haijalishi wazazi wameachana au wanaishi pamoja, na uzuri watoto hasa wadogo wana hisia za juu, wanafahamu kila kitu kinachoendelea hata wazazi wakikosana watoto wanajua bila hata kuambiwa. Ubora wa ndoa ukipungua, watoto lazima waathirike tu haijalishi.
Point ✴️ ☝️
Screenshot_20260122_063227_WhatsApp.jpg
 
Yule tajiri wa mwanza aliyemuoa mke wake unasemaje naye,yule wa miscall 100
Alafu yule mfanyabiashara wa samaki maarufu huko pia buswelu naye si aliua mke wake kwa bomba naye akajiua
Haya mambo hayana cha dar dom arusha popote yanatokea mazee

Ova
Umesomeka mkuu
 
Back
Top Bottom