mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Mzee mzima mwenzangu
Watu wana ghadhabu hiyo cmnt ya kibabe naona mpaka umestuka
Ova
Mzee mzima mwenzangu
Hili janga limechukuliwa kwa namna tofauti na jamii tofautu.Mzee mzima mwenzangu
Watu wana ghadhabu hiyo cmnt ya kibabe naona mpaka umestuka
Ova
Kabisa,wengine wanakuambia jamaa kuua ni sawa wakati ataishia jelaHili janga limechukuliwa kwa namna tofauti na jamii tofautu.
Ndomana unaambiwa siku zote unapopata changamoto za kindoa nkNdiyo mwanzo wa watoto kuanza kutangatanga katika malezi, leo anakuwa kwa bibi, kesho kwa uncle, wiki ijayo kwa Mama mdogo
Na hata kama wazazi waliacha Mali, na watoto kusoma English medium school, watarudishwa shule za kayumba
Sahihi Mkuu, ukimess ndiyo yanakutokea hayaNdomana unaambiwa siku zote unapopata changamoto za kindoa nk
Tafuta watu sahihi wa kuzungumza nao,wakupe ushauri
Hilo ni kwa pande zote
Ova
Huyu jamaa namfahamu kwa jina la Humphrey.Hiyo ya mwanaume
Na sio mama kufa tu!!! Issue ni kuwa amekufaje!!?Kweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.
Sesten Zakazaka hii ni hatari.
Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Laurent Kweka anatuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Dar es salaam.
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mwenyekiti wa Shina la Mtaa wa Mkoani, Lucia Shirima, amesema tukio hilo lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026, ambapo alipigiwa simu na Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo aliyemweleza kuwa, “Baba amemuua Mama.”
Shirima amesema baada ya kupokea taarifa hiyo alifika eneo la tukio na kuwasiliana na Viongozi pamoja na Polisi, ambao baadaye walifika katika nyumba hiyo.
Kwa mujibu wa Shirima, walipoingia ndani waliukuta mwili wa Jenipher ukiwa upande wa kushoto, pembeni ya kitanda, huku Mumewe akiwa hayupo eneo la tukio ambapo baadaye alipata taarifa kuwa Kweka alikuwa amekwenda kujisalimisha Polisi.
Jitihada za kupata taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi kuhusu tukio hilo zinaendelea, na tulipowasiliana kwa simu, tulielezwa kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro, hakuwepo, huku simu ya Kaimu Kamanda ikiita bila kupokelewa.
Unahisi nini kinasababisha matukio ya ukatili na mauaji kuongezeka ndani ya ndoa na familia zetu siku hizi, na nini kifanyike kuzuia majanga haya?
Video:
View: https://www.facebook.com/share/v/189ju9sdmC/
kwa kweli nachokaga sana na hii mamboTena wengine wanaenda kuoa tena hapo hapo kanisani.
TAARIFA KWA UMMA.Chaga city 😂
Umejuaje kuwa marehemu ni mchaga?
KwekaUmejuaje kuwa marehemu ni mchaga?
Una uhakika marehemu anaitwa kweka?Kweka
Ha ha. ndo zao haoHawatumii bunduki ila huwa wanaua kwa kutumia saikolojia pamoja na sumu au uchawi.
Jiulize kwa nini kwenye nyumba nyingi kuna wajane wa kike lakini hakuna wajane wa kiume
Tuliza komwe hilo swali haikuhusuWewe unamjua huyo cocastic??
Duh
Huko Temeke itakua wivu.
Hawana hoja kwa sababu wanaangalia Ndoa chungu tu. Ndoa tamu hawazizungumzii kabisa!Ndoa ngumu kwa kweli daaah, waliosemaga kataa ndoa kuna namna wana hoja mmmh