Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
Ila mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Unamjua cocastic wewe au una leta usukuma wako hapa?
Ila mwanamke ni pisi Kali sura ya kinyarwanda kama ya cocastic
Haya mambo nayaelewa sana kiuhalisia. nakuelewa sana ! tuwaombee tu hao watoto ila maisha ya uyatima si mazuri.Asante dada, tena maisha ya shida! tuliopitia uyatima utotoni tunayajua haya! Sisi tangu siku mama amewekwa.kaburini hatukuona ndugu wa kutushika mkono au kutusimamia! Ni shida tupu. Kuna watoto wa shemeji yangu waliachwa vizuri sana yaani walikuwa wanaogelea kwenye utajiri, ndugu alivyokuwa kuwageuka mpaka wakabaki omba omba mtaani. Na aliyewafanyia hayo ni mama yao mdogo. Mungu naye si athuman na karma huwa haicheleweshi akapigwa upofu mpaka ameenda kaburini.
Hahaha! Unamaanisha hiyo picha?
Yule tajiri wa mwanza aliyemuoa mke wake unasemaje naye,yule wa miscall 100
Alafu yule mfanyabiashara wa samaki maarufu huko pia buswelu naye si aliua mke wake kwa bomba naye akajiua
Haya mambo hayana cha dar dom arusha popote yanatokea mazee
Ova
Kisa huo weupe ndo uremboKwa urembo gani sasa hapo
Hapana, sio coca.Ndio Mzee
Mbona huyo Bado ni chalii aisee,. Tena supu supu kabisa,umekosea bana hawezi kuwa mtuhumiwa huyoHapana, sio coca.
Huyo ndo mtuhumiwa.
Ndiyo maana pale juu niliandika kuwa hana kabisa sura ya kikatili, lakini ndo hivyo, ameufanya.Mbona huyo Bado ni chalii aisee,. Tena supu supu kabisa,umekosea bana hawezi kuwa mtuhumiwa huyo
Umeona kuna sentensi inayosema nawajua hao watu ?Unahisi unawajua sana Wanawake sio?
Do you know something called Google?What was the reason?
Unataka kusema nini mkuu??🥹🥹Unamjua cocastic wewe au una leta usukuma wako hapa?
Wanaume ni malaika ndiyo. Kwangu Mimi huyo jamaa ni malaika. Aliipenda familia yake na watoto, leo hii anaumwa kansa ya tumbo, ameyumba kibiashara/kikazi, mwanamke anachoanza kufikiria ni kubadilisha majina ya hati, kua majina yake bila KUWAZA hata watoto wake wa kuwazaa...huyo mwanamke ni mwanamke ama MAVI?Mbona huzungumzii sehemu inayosema kuwa huyo mwanaume naye hakuwepo nyumbani kwa muda wa miezi miwili? Alikuwa hajui pia watoto wanaishije. Why lawama ni kwa mwanamke tu? Men acheni ubinafsi na kujiona nyie ni malaika.
Kabisa, ingekuwa wanaupata na kuuelewa mauaji ya wanandoa kuuana yangepunguaUjumbe kama huwa hawaupati sijui kwa nini
😂😂😂Uyu Rebeka anaongea sana.
Mbona inasemekana nae wa huko uchagani?Ndugu zako wa kusini hao. Majirani kabisa.
Mie sina neno kabisaa,Nini tena wewe mngoni?
😂😂😂 mabwakuuu.Mali zitawamaliza nyie wanawake, yani nisote miaka 10-15 nijipate , nikuoe halafu uanze kukitembeza kwa hao vijana wa gym sijui bodaboda, mara workmate 😀😀😀
Aloo nitaanza na hao halafu namalizia kwako halafu nawala nyama shenzi kabisa
Wewe unamjua huyo cocastic??Unamjua cocastic wewe au una leta usukuma wako hapa?