cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂 watuhumiwa wanakuaje?Mbona huyo Bado ni chalii aisee,. Tena supu supu kabisa,umekosea bana hawezi kuwa mtuhumiwa huyo
😂😂😂 watuhumiwa wanakuaje?Mbona huyo Bado ni chalii aisee,. Tena supu supu kabisa,umekosea bana hawezi kuwa mtuhumiwa huyo
Kweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.Wanandoa mnapochokana, vyema kuachana kwa amani
Hata kama mna watoto pamoja, bora Mama awe hai na Baba awe hai, hao watoto watawatembelea kwa utaratibu utakaowekwa kisheria
Vinginevyo wanandoa wengi watauana kwa risasi ama sumu 🙌
Afya ya akili
Mmh! Wacha haya mawazo Mtani.Nitamuua nikishahakikisha kafa kabisa, naenda mwenyewe kujisalimisha polisi, hata wasisumbuke kunitafuta.
Mtu kashazaa watoto wa4 😄Kwa urembo gani sasa hapo
Ni hatari sana Shadeeya Na utakapogundua kua kitu ulichofafanya ni cha hovyo inakua tayari ushachelewa,. Wanasema too late, inabaki majutoKweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.
Sesten Zakazaka hii ni hatari.
Mtani! Usione watu wanaua hamjui nini kipo ndani yake, kunakua hakuna cha kupoteza tena.Mmh! Wacha haya mawazo Mtani.
Kikawaida kawaida unaweza ukaona sawa ila kiuhalisia maisha yasiyo na uhuru yasikie tu.
Sawa Malaika. Sasa kachukue hao watoto yatima ulee.Wanaume ni malaika ndiyo. Kwangu Mimi huyo jamaa ni malaika. Aliipenda familia yake na watoto, leo hii anaumwa kansa ya tumbo, ameyumba kibiashara/kikazi, mwanamke anachoanza kufikiria ni kubadilisha majina ya hati, kua majina yake bila KUWAZA hata watoto wake wa kuwazaa...huyo mwanamke ni mwanamke ama MAVI?
Hakuna wa kunilambisha ardhi isipokuwa Mungu peke yake.Wewe ni mwanaharakati haupo mbali kulambishwa ardhi
Hata kama bana Mtani.Mtani! Usione watu wanaua hamjui nini kipo ndani yake, kunakua hakuna cha kupoteza tena.
Ukifanya utafiti utagundua miongoni mwa kesi nyepesi ni kesi za mauaji hasa mauaji yanyisababishwa na wivu wa mapenziMtani! Usione watu wanaua hamjui nini kipo ndani yake, kunakua hakuna cha kupoteza tena.
Wapo wajomba , baba wadogo, upande wa baba yao watawalea watoto vizuri tu na kulinda Haki zao na urithi wao ambao ulitaka kuchukuliwa na shetani mwanamke.Sawa Malaika. Sasa kachukue hao watoto yatima ulee.
Hivi huo mstari wa mwisho umepigaje hapo... unajua umepiga kwa dharau sana 😅🤣😂Hapo ukifuatilia sana unakuta hata ndugu wa mwanamke walikuwa wanamuunga mkono huyo dada katika huo mchakato wa talaka na umiliki wa Mali.
Lkn aliyedungwa risasi ni yeye na hao wapambe kawaacha wanaliona jua
Picha yake ya mwanzo na hiyo tofauti kabisa😂😂😂 watuhumiwa wanakuaje?
😂😂😂Picha yake ya mwanzo na hiyo tofauti kabisa
Kwa hizi siku mbili tatu wanawake wamekua na ka- discipline flan hivi.. wakitaka wanyenyue mdomo wanakumbuka mapigo ya jamaa.Wanawake wanatakiwa wasisitizwe kuwa tuko tofauti na reactions ziko tofauti miongoni mwetu.Wajue hilo kuwa ukimfanyia mwanaume ushenzi,usitarajie awe mwema kwako na kama ikitokea akawa mwema ni bahati.
Kuna ujingauninga mwingi sana kwenye hizi ndoa ni basi tu mambo hayawekwi wazi.
Duh AiseeNdugu yako anatekwa, watekaji unawajua na simu wanakupigia, ila unaishia kumtumia taarifa Twaha Mwaipaya
Unakosana na mke wako unaamua kumuua.
Matumizi yake yote naona ******* sana ya hasira nimekuwa nikiyaona kwa waTanzania.
Ale mvua ya miaka ya kutosha, kukomosha ushenzi huu.
Mnamsamehe Mafwele kila siku alafu mnashindwa kuwasamehe wake zenu, ******* nyie
Ni msenge
Kwa hizi siku mbili tatu wanawake wamekua na ka- discipline flan hivi.. wakitaka wanyenyue mdomo wanakumbuka mapigo ya jamaa.
Hivi huo mstari wa mwisho umepigaje hapo... unajua umepiga kwa dharau sana 😅🤣😂
Ndiyo mwanzo wa watoto kuanza kutangatanga katika malezi, leo anakuwa kwa bibi, kesho kwa uncle, wiki ijayo kwa Mama mdogoKweli kabisa mana kama hapo wameshawapa ugumu watoto kwani mama kafa baba anaenda jela.
Sesten Zakazaka hii ni hatari.