Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

Haya mambo nayaelewa sana kiuhalisia. nakuelewa sana ! tuwaombee tu hao watoto ila maisha ya uyatima si mazuri.
 
Watu wa dar hawajui kuwa tzii ni kubwa, still wapo ndani ya box
Yule tajiri wa mwanza aliyemuoa mke wake unasemaje naye,yule wa miscall 100
Alafu yule mfanyabiashara wa samaki maarufu huko pia buswelu naye si aliua mke wake kwa bomba naye akajiua
Haya mambo hayana cha dar dom arusha popote yanatokea mazee

Ova
 
Mbona huyo Bado ni chalii aisee,. Tena supu supu kabisa,umekosea bana hawezi kuwa mtuhumiwa huyo
Ndiyo maana pale juu niliandika kuwa hana kabisa sura ya kikatili, lakini ndo hivyo, ameufanya.
Inasemekana kampiga visu vya kutosha.
 
Mbona huzungumzii sehemu inayosema kuwa huyo mwanaume naye hakuwepo nyumbani kwa muda wa miezi miwili? Alikuwa hajui pia watoto wanaishije. Why lawama ni kwa mwanamke tu? Men acheni ubinafsi na kujiona nyie ni malaika.
Wanaume ni malaika ndiyo. Kwangu Mimi huyo jamaa ni malaika. Aliipenda familia yake na watoto, leo hii anaumwa kansa ya tumbo, ameyumba kibiashara/kikazi, mwanamke anachoanza kufikiria ni kubadilisha majina ya hati, kua majina yake bila KUWAZA hata watoto wake wa kuwazaa...huyo mwanamke ni mwanamke ama MAVI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…