The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Aliyekugongea kakugongea tu,maisha yake yawe ya amani yasiwe ya amani hiyo ni juu yake je wewe uliyegongewa hiyo amani utakuwa nayo?Doh! Huyo jamaa atajidicha wapi ambako hawezi patwa na hasira za aliowagongea?
Maisha yake tangu jana, hayatakuwa na Amani mpaka ataingia kaburini