Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Na kavaa T-shirt iliyoandikwa "K"....akimaanisha "Kuliwa" kuna raha zakeHahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani
Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko anainamishwa
Jamaa kwa maelezo yake amemnunuliwa mkewe magari 2 na kampa na dereva na pesa ila bado tu kachapiwa
Kataa ndoa oyeeeee
Viddo ipo hii hapo