Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani

Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko anainamishwa

Jamaa kwa maelezo yake amemnunuliwa mkewe magari 2 na kampa na dereva na pesa ila bado tu kachapiwa

Kataa ndoa oyeeeee

Viddo ipo hii hapo
Huyu na yeye ni fala tu, sasa story nyingi za kazi gani? Kwamba anata wasuruhishwe au aombwe msamaha?
 
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani

Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko anainamishwa

Jamaa kwa maelezo yake amemnunuliwa mkewe magari 2 na kampa na dereva na pesa ila bado tu kachapiwa

Kataa ndoa oyeeeee

Viddo ipo hii hapo
Na bado amechapiwa pia na dereva
 
Yaani mzee tunafarijiana tu lakini aliyekugongea amekugongea baba hii itabaki hivi maisha.

Hivi umeshawahi kujiuliza sijui mkeo au demu wako ile miguno anakupa na styles fulani amazing leo anaenda kuyafanya kwa mtu mwengine mbaya zaidi jamaa kaloweka kavu?ni wakati mgumu acha!
Mkuu, hakuna kitu kinaitwa kugongewa, kuna mwanamke kugongwa. Wanaume tunagongewa magari yetu sio mwanamke. Hili neno kugongewa ndo linasababisha wanaume wanaua wanaume wengine kisa uke.
 
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani

Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko anainamishwa

Jamaa kwa maelezo yake amemnunuliwa mkewe magari 2 na kampa na dereva na pesa ila bado tu kachapiwa

Kataa ndoa oyeeeee

Viddo ipo hii hapo
Dah, kisanga siyo cha kitoto isee!
 
Johnny Sins? Hayupo huyo mtu. Kuna John Cena!
Huyu ni nani mkuu?
1_1o-feXsOXeB_RMoiUEx9BQ.png
 
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani

Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko anainamishwa

Jamaa kwa maelezo yake amemnunuliwa mkewe magari 2 na kampa na dereva na pesa ila bado tu kachapiwa

Kataa ndoa oyeeeee

Viddo ipo hii hapo
Waliosomea ufaransa au Congo ama Rwanda msaada wa tafsiri
 
Ila wanawake, Sasa analia nini? Very stupid!
 
Back
Top Bottom