Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

Huyu na yeye ni fala tu, sasa story nyingi za kazi gani? Kwamba anata wasuruhishwe au aombwe msamaha?
 
Na bado amechapiwa pia na dereva
 
Mkuu, hakuna kitu kinaitwa kugongewa, kuna mwanamke kugongwa. Wanaume tunagongewa magari yetu sio mwanamke. Hili neno kugongewa ndo linasababisha wanaume wanaua wanaume wengine kisa uke.
 
Dah, kisanga siyo cha kitoto isee!
 
Waliosomea ufaransa au Congo ama Rwanda msaada wa tafsiri
 
Ila wanawake, Sasa analia nini? Very stupid!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…