Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna shida mahali, ni dhahiri kuwa hawaelewani Huyo Dada na Mkwe wakemama yake [emoji777]️
mama mkwe [emoji736]️
Na tatizo limeanzia hapa.mama yake ❌️
mama mkwe ✅️
Amenikatali akasema mtoto ndio aende na hicho alichotumwa hakikua na umuhim wala uharaka wa kaisi hichoUngeenda wewe sasa ..unaachaje mtto anaenda...ungemwambia baki nitumen mimi...sasa unaina kbs dogo anaenda we unaangalia tuu.....
Naishi nae vizuri...hio point ya kusema amenipa kama adhabu na mimi nahisi hivyo...naona kama amejaribu kunionesha nmemkosoa mama mkwe na ma mkwe yupo sahihiNa tatizo limeanzia hapa.
Mleta mada unaonekana hu-appreciate mama wa mumeo kuwa mama yake (kama umenielewa vizuri yaani baada ya wewe kuolewa nae unataka kukaa nafasi zote mke/mama yake).huyo ni mama mkwe wako ulivyokataa asiongozane na mjukuu wake dukani ulijuaje kama baada ya kitu kununuliwa asingeenda na safari zake angesubiri hadi amuone amekaribia nyumbani ndiyo aondoke?
Hapa hutasema,lakini zipo dalili ameziona mumeo za wewe kutokumuheshimu mama yake au hupendi uwepo wake hapo kwenu na amefanya hivyo kutokana na panic labda nilichokiandika hapo juu mama mkwe wako alikuwa ameshamwambia mumeo wewe ukam-crush as if ni mtoto mwenzako,mambo ya familia yanataka sana hekima hapo mumeo amekupa kitu kama adhabu (well,amekosea) lakini ndiyo imeshatokea wewe next time kuwa na subira.
Anaweza Asiibwe ila usiku una mambo mengi...na pia sio picha nzuri kumuona mtoto mdogo anatembea peke ake usiku kwa mimi hapaUsiku unaogopaa watamuibaaaa au kuna simbaaaaa watamlaa..[emoji16][emoji16][emoji16] Tulia mama mtoto ndo anakomazwaaa
Maisha hayapo hivi bro,unazungumzia ya Nyerere hata wewe ukija kufikia umri wa kuitwa mkwe wa mtu kuna vitu utataka viende sawa na dunia uliyopo na uoni unaouona wewe,sisi ni Waafrika siyo wazungu tumezoea kuishi kwa umoja wa kifamilia ukiendekeza uzungu kizazi chako kitakatwa na laana ya mzazi wako.Angekuwa ni mtoto wa kiume tungesema ana mwelekeza the real world ila Kwa mtoto wa kike inaonekana kabisa bibi yake anataka leta ubushi mjini,Kaa na huyo ma mkwe mweleweshe kuwa Nyerere alishakufa na Miaka hii sio Ile ya 47'na Wala usimuogope maana madhara yakimkuta mtoto wataanza kukuangalia ww
Ulipomwambia mumeo akae nje akimchungulia je alifanya hivyo au hakufanya hivyo?Naishi nae vizuri...hio point ya kusema amenipa kama adhabu na mimi nahisi hivyo...naona kama amejaribu kunionesha nmemkosoa mama mkwe na ma mkwe yupo sahihi
Mimi sidhan kama kuangalia zaidi usalama wa mtoto ni kumkosea heshima na nilisema kwa ustaarab
Usimuite mama wa mtu hivi please mkuu.Huyo mama mkwe ni mpumbavu at all grounds haijalishi wewe na yeye hamuelewani. Hii ni aina nyingine ya ukatili kwa watoto. Muafrika hajafikia pointi ya ustaarabu. Ni suala nitaendelea kulisisitiza siku zote za maisha yangu.
Hizo tamaduni zibaki tu,na kama laana ije ila Kwa Dunia ya Sasa siwezi muacha mtoto wa kike atembee mwenyewe usiku,hata wa kiume na Sio uzungu mkuu nyakati zimebadilika.Maisha hayapo hivi bro,unazungumzia ya Nyerere hata wewe ukija kufikia umri wa kuitwa mkwe wa mtu kuna vitu utataka viende sawa na dunia uliyopo na uoni unaouona wewe,sisi ni Waafrika siyo wazungu tumezoea kuishi kwa umoja wa kifamilia ukiendekeza uzungu kizazi chako kitakatwa na laana ya mzazi wako.
Hii changamoto nilishawahi kukutana nayo ktk familia yangu mama na mke wangu walikuwa wanakaa hata miezi sita hawapigiani simu sababu mama alipokuja mjini kupumzika alimkera wife kitu fulani ikawa ugomvi,nilikaa na wife nikamwambia yule ni mama yangu hakuna namna utasema asije kwetu au wewe usimsalimie ukijua wazi yupo mbali na ana maradhi yake cha kufanya jishushe chochote atakachokwambia as long as hakikudhuru vumilia likiwa zito sana niambie mimi nitakaa nae chini tusahihishane.
Alinielewa maisha yanaenda.
Hii nayo ya kufungulia uzi!!!??? Aisee!Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Una point za msingi sana lakini wazee wanaangalia mambo kwa angle tofauti na sisi vijana.Hizo tamaduni zibaki tu,na kama laana ije ila Kwa Dunia ya Sasa siwezi muacha mtoto wa kike atembee mwenyewe usiku,hata wa kiume na Sio uzungu mkuu nyakati zimebadilika.