Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ndio jibu sahihi ZeemadeitWewe na mkwe wako mnampa changamoto huyo baba mwenzetu.
Ligi zenu anaepata changamoto ni mwanaume aanze kuchagua upande sio jambo sahihi kabisa.
Tumieni busara,
Ila jamaa ikabidi afunike kombe mwanaharam apite kwa kichagua upande wa mama.
Wakulaumiwa hapa ni wewe na mama mkwe wako.
Kama duka lipo karibu ungeacha aende na ukaenda muangalizia badala ya kumzuia, ungeepusha shari na pande zote zingepata ushindi.
Kwanini hukuenda weweNmejaribu kumzuia nikashindwa akaishia kuniambia nikae kimya
Naishi nae vizuri...hio point ya kusema amenipa kama adhabu na mimi nahisi hivyo...naona kama amejaribu kunionesha nmemkosoa mama mkwe na ma mkwe yupo sahihi
Mimi sidhan kama kuangalia zaidi usalama wa mtoto ni kumkosea heshima na nilisema kwa ustaarab
Wewe ndiyo mpumbavu, wakati mnabishana ungefunga domo lako ukaenda hapo dukani unaposema siyo mbali ungetatua tatizo.Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Nafikiri kosa ni lako.Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
mkuu please nakuomba nijibu PMlabda kagundua sio mwanae (nawaza ujinga )
Una matatizoHajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Hapo ndipo chimbuko la tatizo!mama yake ❌️
mama mkwe ✅️
Hewaa maana asingekuwa mjuaji, mama mkwe ( mama yake kama anavyomkosea adabu) angeshauriana na Zeemadeit siyo kumweleza mtoto direct. Lakini kwa vile ni mbabe na mama wa watu anamuogopa, akaona atumie kitu inaitwa ‘voice of the voiceless’
Kingine ambacho ni tatizo kwenye familia nyingi za kiafrika ni kuishi na mama mkwe ndio imekuwa chanzo cha migogoro ya ndoa nyingi sana, kama hakuna ulazima mama mkwe akae uko uko kijijini tu kuliko kuja kuishi mjini kuanza migogoro isiyo na tija yoyote.Hajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Story ndefu tulishakula na mtoto kuna muda alianza hadi kusinzia.Upumbavu ni wako pamoja na ujinga, wewe ndio sababu ya mtoto kutumwa usiku huo halafu unalalamika hapa, ulikuwa wapi muda wote kuandaa mahitaji yako mapema?
Unasema saa tatu na nusu mtoto huwa kashalala wewe ndio unapika angekula saa ngapi huyo mtoto? Ulikuwa wapi hadi upike saa tatu na nusu? Unaanzisha mgogoro wa kifamilia halafu unaomba ushauri!!!
Naishi nae vizuri changamoto hapo alikuq amerudi kutoka kwenye event flan na qlikua ameshakunywa nadhan hio pia ilichangia yeye kusuggest kitu kama hicho.Hewaa maana asingekuwa mjuaji, mama mkwe ( mama yake kama anavyomkosea adabu) angeshauriana na Zeemadeit siyo kumweleza mtoto direct. Lakini kwa vile ni mbabe na mama wa watu anamuogopa, akaona atumie kitu inaitwa ‘voice of the voiceless’
Ni karibu ila unavuka barabara ya mtaan.Kwa jinsi ulivyoeleza inaonekana mazingira ya nyumbani kwako na dukani ni rafiki ndio maana mumeo akakwambia kuwa aende nae alafu mtoto arudi mwenyewe, ila binafsi mwanangu iwe usiku au mchana siwezi mwagiza dukani kulingana mazingira ninayoishi maduka yapo mbali isitoshe pikipiki ni nyingi sana so kwa kesi yako mazingira halisi mumeo alikuwa anayafahamu ndio mana alifanya ivyo kwa kujua hakuna negative impact yoyote.