Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wake na ndio maana nmekuja hapa kupata mawazo zaidi .Huwezi kusema kwa ustaarabu unapomkosoa Mama mkwe tena ukiwa umeolewa..
Kama ni mtoto wake kweli sioni sababu ya wewe kukasirika. Lakini kama sio mtoto wake, yaani ni mtoto wako na mwanaume mwingine unahaki na hiyo ndio tafsiri ya ulichoandika
Alinikataza akisisitiza ni sahihi mtoto kwenda na mimi niendelee nachokifanya. Na mimi sikutaka kuendelea kushindana nae nmeona nipate mawazo kwenu pia kama hiki kitu ni sahihi kama sio sahihi next time nikiona wanamtuma niwaambie sio sawa.Sasa kwanini wewe hukumsindikiza mtoto.?
Hapo ndio tatizo lilipo. Hili libinti linaonekana linadharaumama yake ❌️
mama mkwe ✅️
Mkishabugizwa shuntama huwa mnawadharau sana mama zenu.Huyo mama mkwe ni mpumbavu at all grounds haijalishi wewe na yeye hamuelewani. Hii ni aina nyingine ya ukatili kwa watoto. Muafrika hajafikia pointi ya ustaarabu. Ni suala nitaendelea kulisisitiza siku zote za maisha yangu.
Ilikuwa ni voice of the voiceless ujueAlikaa baada ya mtoto kurudi na kumwambia baba ake naogopa .....inshort hakukua na emergency ya kaisi hicho ya kufanya mtoto atumwe muda huo.
Ana mdomo huyu bintiStill alijali asingekaa hata baada ya mtoto kusema anaogopa hilo lingekuwa tatizo lingine lakini kama alitoka nje kumsubiri mwanae bado ni Baba bora hiyo alikupa wewe kama lesson.
Sasa ni usiku muamshe hapo m'boreshe ndoa yenu kesho weekend mkishinda wote hapo home muelekezane taratibu za kuishi lengo ni mfike pamoja,next time usiwe mwepesi wa ku-panic kuwe na emergency kusiwe na emergency always ili jambo liharibike au liimarishwe lazima kuwe na sababu na sababu zenyewe ndiyo kama hizi.
Pole kama huoni tatizo mtoto wa miaka MITANO kutumwa dukani saa TATU NA NUSU USIKUUU!!!!!!Mtoto kutumwa dukani nayo imekua tatizo hebu funguka vzuri upewe ushauri kuna kitu hakiko sawa unaficha
Nasema, kama angekuwa ni mama yako au kama mgekuwa na uhusiano mzuri na mama mkwe, mgeshauriana. Lakini kwa vile una ubabe ndiyo maana anaona mjukuu ndiye mtu wake wa Karibu.Naishi nae vizuri changamoto hapo alikuq amerudi kutoka kwenye event flan na qlikua ameshakunywa nadhan hio pia ilichangia yeye kusuggest kitu kama hicho.
Mumeo yupo sawa kabisa! katika malezi mtoto wa kiume hatskiwi kudekezwa dekezwa anatakiwa awe imara na ajitambue mapema. Akina mama mna desturi ya kuwahurumia watoto wenu na kuwaona watoto kila siku , matokeo yake watoto wanakuwa legelege na wasiojitabuaHajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Kuna kazi nilikua nafanya na hicho kiungo hakikua muhimu hivyo ...alivyoondoka nikawa nimepatq wazo niachane nacho tu.
Kama duka haliko mbali hakuna ubayaHajawahi kufanya hivyo ni mara ya kwanza. Ilikua hivi mama yake ambae kwa sasa tupo nae aligundua kuna kitu kimepelea jikoni akamwambia mtoto wetu wa kike (ambae mara nyingi muda huo wa saa tatu na nusu usiku anakua ameshalala kasoro hii leo ) waongozane yeye kuna sehem anaenda mara moja wapitie dukan wanunue hicho kiungo ampe arudi mwenyewe .
Mimi kusikia hivyo nikamwambia sasa hiv usiku na kuna giza huko nje japo duka halipo mbali. Dada wa kazi akimaliza anachofanya au mimi nitaenda kuchukua . Mama mkwe akajibu sawa akaondoka, baada ya kama dakk 5 mume wangu akasema kwann mtoto asiende dukan yeye anamtuma. Nikamwambia sio sawa ni usiku sana mimi nitaenda akalazimisha .
Mtoto akatoka nje alivyofika mbal na eneo la nyumbani akarudi kumuomba baba ake akae nje awe anamuangalia kwa kua anaogopa. Mimi sijapenda hichi kitendo kwa kua hakukua na ulazima wq mtoto kwenda. Je ni sahihi na mimi nina overreact? Ushauri tafadhali ili nijue namna nzuri ya kuhandle hii situation ikitokea tena.
Sikubaliani na Kutuma watoto Dukani usiku lakini hichi ulichoandika si kweli.Watoto wengi hubakwa sababu ya kutumwa dukani usi ruhusu tena mwanao aka tumwa mpaka pale angalau ana miaka 13.