Mume amemtuma mtoto wetu wa miaka mitano dukani usiku ni sahihi?

Wewe mwanamke mjuaji, mwanamke kuingilia kauli ya mumewe ni utovu wa nidhamu, huna nidhamu wewe,Harafu unapata wapi jeuri ya kuingilia maamuzi ya mama mkwe pamoja na mumeo!? ningekuwa mimi mmeo ningekung'oa taya right away!!
 
Mambo mengine utadhani ni ''mahoka''. Wewe ni mtu mzima tena mwanamke uliye kwenye ndoa na unashindwa namna ya ku-handle tatizo dogo namna hii?
Kama umeona dogo ungepita kimya kimya...hatulingan uwezo wa kusolve matatizo kwako dogo kwangu sio
 
Kama umeona dogo ungepita kimya kimya...hatulingan uwezo wa kusolve matatizo kwako dogo kwangu sio
Haya. Ila siku nyingine usikubali mtoto kwenda dukani usiku, no matter how near it is.... Mimi ni mwanaume na kuna siku naenda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi ili tu watoto wasiende kwa sababu ni wadogo kama huyo. Huyo mume wako mwambie afanye hivyo hivyo.
 
Ndoa itakushinda hivi karibuni. Kama jambo dogo tu kama hili umelileta hapa, vipi makubwa zaidi ya hili. By the way, una uhakika gani kama mmeo naye hayupo jamiiforum? Kama yupo hawezi kuona upuuzi huu?
Ikinishinda nitakua sio wa kwanza wew unanifaham au kumfaham huyo mume wangu. Akiona kuna sehem nimetukana
Wewe mwanamke mjuaji, mwanamke kuingilia kauli ya mumewe ni utovu wa nidhamu, huna nidhamu wewe,Harafu unapata wapi jeuri ya kuingilia maamuzi ya mama mkwe pamoja na mumeo!? ningekuwa mimi mmeo ningekung'oa taya right away!!
Kwahio kila anachosema mama mkwe ni sahihi na sipaswi kutoa maoni akisema mwanangu asisome aolewe niseme sina jinsi kisa mama mkwe kasema . Kuhusu mtoto wangu nin kazi ya kumlinda kuliko mtu mwingjne yeyote na mama ndie ajuaae uchungu wa mwana.
 
Busara huna, unaropokwa matusi kwa mama wa watu wakati umesikiliza upande mmoja tu wa mwanamke asiye na adabu.
Labda nikuambie jambo moja.
Sijadili uhusiano wa huyo dada na mama mkwe wake kwa sababu halinihusu na si suala la interest kwangu. Nachojadili ni kutumwa mtoto mdogo wa miaka 5 usiku. Ukisoma maelezo ya huyo mama mkwe hana nia njema na mjukuu wake. Kwanini atake mtoto ndiye atumwe kwa mazingira hayo ya usiku?
Itoshe kumuita mtu mpumbavu si tusi. Kila mtu ana upumbavu wake...lililo la msingi ni kutodhihirisha upumbavu wako mbele ya hadhira. J2 njema!
 
Mama mkwe wako ana akili sio wewe mkoswa adabu,huna adabu weewe ,narudia ningekuwa mimi ningekung'oa taya right away,unapata wapi ujasili wa kumkata kauri mama mkwe wako,nasikitika mwanamme mwenzangu kuoa gumegume
 
Hakikisha mahitaji ya muhimu yapo ndani ili kuepusha watoto kutumwa usiku.

Naona pia kama wewe na ma mkwe hampo sawa, kwanini atoke usiku na mjukuu badala utoke nae wewe?

Sasa unamwofia mtoto ambaye anarudia kwenye duka la mangi, ma mkwe yeye anaenda na nani huko?

Mmeo kaona sawa tu mtoto aende mbona mama anaenda mwenyewe.

Hebu kaeni vizuri na wazazi.
 
Mama mkwe wako ana akili sio wewe mkoswa adabu,huna adabu weewe ,narudia ningekuwa mimi ningekung'oa taya right away,unapata wapi ujasili wa kumkata kauri mama mkwe wako,nasikitika mwanamme mwenzangu kuoa gumegume
Kama kua makini na Usalama wa mwanangu kunanifanya kua gumegume basi sawa . Namuonea pia huruma uliyemuoa maana nq yeye kapata gumegume la kiume lisojua mtoto mdogo anahitaj ulinzi wa wqzaz
 
Tupo vizuri kwa ninavyoona mimi na tumeish vzuri kwa miaka zaidi ya 7 na hata navyaondika hapa hakuna ugomvi hapa home wala mpishano tumeamka tunapiga story na mam mkwe nakucheka.
 
Kama kua makini na Usalama wa mwanangu kunanifanya kua gumegume basi sawa . Namuonea pia huruma uliyemuoa maana nq yeye kapata gumegume la kiume lisojua mtoto mdogo anahitaj ulinzi wa wqzaz
Mke wangu ana adabu,hawezi bishana na mama mkwe wake,wala mimi hajawahi nipinga hadharani,ndo maana hadi sasa niko ndoani kwa zaidi ya miaka 20,wewe sina imani kama miaka 10 itafika,tunza hii coment kwa rejea
 
Huyo mama mkwe anapika huko jikoni au anafanya nini mpaka aanze kujua mapungufu ya jiko la mkamwana wake?

Mama zetu wakija mjini inafaa wakae, watulie wapikiwe, wale na kuenjoy na wajukuu zao.
Sasa mama yuko busy jikoni mpaka anaanza kujua sijui masala imeisha na hapohapo bado ana safari za usiku! Huyo mama anaenda wapi usiku?
Au ilikuwa saa moja tu.?
 
Great thinker mnatumika vibaya kwaiyo apo anataka ushauri toka kwenu duuuh , Mungu ibariki Tanzania na vizazi vyake

Yan ad unafungua nyuzi kutafta ushauri
 
You have said it all. Uzi ufungwe sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii ni familia isiyojielewa kabisa, hata mwanaume ni jukumu lake pia kusaidia familia yake
Mbona kitu kidogo sana hicho wala sio udhalili bali ni kawaida sana
Mimi nafanya shopping mara kwa mara kwa sababu unatoka kazini au kwenye pilika zako kupitia kitu dukani au supermarket ni sawa tu
Itakuwa usiku na giza la huko kumtuma mtoto ni unyanyasaji
Wana bahati sio ulaya angechukuliwa na social worker zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…