Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Alikuta frig lake lipo kwa kakobe akalifuata haa haa sio wale wakulia lia[emoji23][emoji23]
Hadi rav4 ipo kwa mchungaji, mjeshi kufika pale kaingia ofisini kwa kakobe, kakobe akajua mamaa kaleta muumini mpya kumbe jamaa kafata mali zake. Kakobe alicheua kila kitu
 
Ila kumpa Mchungaji ni sawa?

#YNWA
 
😅😅😅😅mambo ni mengi kuliko muda

bora kuachika kuliko kutoa kadi, hukumu ikitoka utuletee mrejesho

Ni aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Madhara ya kuowa mke ili akusaidie maisha,hili ni tatizo kubwa vijana amkeni maisha ya hivyo sayari hii hayapo shauri zenu msije sema hamkuambiwa.

Huyo bwana hazimtoshi


Mume hana akili

Huyo sio mwanaume😃😃😃😃😃😃😃😃

Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.


Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?


#YNWA
 
Kwahiyo kumpelekea Mchungaji ni sawa?


#YNWA
Sasa kama ameamua mimi na wewe ni nani tupinge? Unajua alichofanyiwa huko kanisani ? Tena hapo ameshafikisha na mashtaka kwa baba mchungaji 😅😅😅
 
Wanapateliwa sana hawa wamama huko makanisani
 
Umefunga kikao mkuu, kama mke anataka audumiwe na mume kwa asilimia 100 sioni sababu ya kuajiri house girl tena ilibidi mke akae nyumbani alee familia
 
Unazingatiaje vitu hivyo ili uoe,? ukishakua mwanaume hakuna la kukushinda kuli handle shida mwanzo mnaanza vibaya kwenye mahusiano na mwanaume inakuletea shida maisha yako yote
Wanaume wa sikuhizi dhaifu sana mkuu, yaan mwanaume una diploma unamuogopa mwanamke mwenye bachelor kweli. Hapo kwenye pesa ndio kidogo patanipa changamo Wala sio elimu au umri
 
Nafikiri amejifunza ...
 
Kuna wanawake wameshikwa saana na wachungaji wa makanisa ya kilokole,

Yeye hawazi kitu zaidi ya huko kanisani , familia siyo kipaombele teena .kama kuna hela inatakiwa ifanye mambo mawili kanisani na nyumbani hiyo hela moja kwa moja inaenda kanisani.

Harafu hao wachungaji wanakula bata tuu kwa pesa za wajinga wachache...
 
Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Kama unaishi chini ya sheria basi ujue kila kinachopatikana ndani ya mke na mume ni chenu wote, ndiyo sababu mahakama iliipokea kesi. Hapa inaonekana mke ana mwanaume mwingine kanisani.
 
Sheria ipi inasema mwanamke akiolewa akabidhi ATM kwa mume wake choka mbaya lofa ambaye hana uwezo kuhudumia familia
Acha kunisumbua akili kwa jina la sheria mwanamke asiyemtii mme wake akatafute mwanaume mwengine ,na mwanaume kamili anatoa miongozo ya kila kitu hautaki tafuta mwingine .
 
Ukizingatia kuwa anatumia muda wa kuihudumia familia kufanya hiyo kazi, lakini matokeo ya kazi anayapeleka kanisani...
 
Thank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…