Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

🀣🀣🀣🀣
 
Mwanaume kakosea sana kwenda mahakamani angempa majukumu tu huyo mwanamke, mm namwambia lete bajaet ya mwezi akileta naangalia activity inayolingana na hela ninayoitaka then namwambia hele hii naipunguza utajazia halafu vingine navinunua namletea. Mi wangu huwa nanunua kila kitu ndani namwachia hela ya mboga tu hiyo ni jukumu lake, hata sitaki kujua anapokea mshahara kiasi gani
 
Hii imekaa sawa kabisa.. Yaani unasimamisha hadi mafuta ya kupaka
 
Umeowa we bwana evil Genius ?
 
Ndugu zangu, waombeeni sana watoto wenu wapate wenza wenye busara na maarifa. Zaidi ya yote, wawe na unyenyekevu mbele za Mungu.
 
Inashangaza mkuu , mume kutaka ATM ni kwa namna ya kumsaidia huyo mwanamke na matumizi ya hovyo.

Fikiria mnaishi na mtu ndani kwa maisha ya sasa yeye hela yake ni kupeleka huko kwenye makanisa ya kiroho harafu huku ndani hafanyi chochote...
Ila wanawake wana dhana moja tu ya kupokea yani yeye ni apewe tu sio vinginevyo, linapokuja swala ni familia utazani watoto sio wetu wote, maisha sahivi yamepanda sana usaidizi ni muhumi kama mkeo ana ajira bora mke awe mama wa nyumbani mwanaume ujue utapambanaje
 
Wengine wacha tunyamaze, unarudi home unakuta assets za ndani zimetoweka. Unauliza unaambiwa nimempelekea mama Nabii, unafatilia unambiwa huwezi kuzipata kwani zimekabdhiwa madhabauni na mke wako. Unatoa hela muinvest kama millioni 7 unakuta karibu robo amepelekewa nabii, unarudi home unakuta picha kubwa chumbani ukutani, imeandikwa baba wa kiroho. Unatamani kuhama nyumba na unakuta ni mama wa nyumbani tu. Unashangaa VICOBA wanakuja kutaka kubeba vitu vya ndani wanadai 4.5 M alizokopa wife, unamuuliza kazifanyia nini anasema matumizi ya nyumbani na hakuna alichofanyia. Nashangaa sana bahadhi ya comments humu.
 
Mwanamke kama anafanya kazi na anapeleka hela kwa matapeli akikuacha wewe unaacha kadi kwenye kampuni za mikopo upate ada na kodi na chakula cha kumlisha anenepe huo ni uzwazwa

Tatizo sio ATM card ni scenario hapo juu
 
Thank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
Wengi wa humu ni Watoto hata kuonja k hawajawahi! Comments zinaonesha ukurupukaji. Hii ilitokea kwa Marehemu Dr Likwelile ambaye alimuacha mkewe wa kwanza kwa kupeleka gari na kulitoa kanisani ati ameokoka! Ukiona mwanamke anafanya kitu kama hicho bila kushauriana na mumewe, jua anachepuka
 
Thank you mkuu, wahanga wa hio tuko wengi, nasikitika sana kusoma bahadhi a comments. Haswa huyu YEHODAYA ni janga kuu.
YEHODAYA sio mjinga na yeye ni mchungaji wanaofaidika na pesa za wanawake wajinga. Anatetea ugali wake
 
Watu wana mihemko humu
Kwahiyo mnahisi jamaa anapaswa kutulia tu ela ziende kwa matapeli wa kanisani?

Yaan mke wangu nimlishe, nilishe watoto, niwavishe, nitenge fedha za maendeleo alaf yeye ela zake apeleke kanisani kwa kisingizio anapeleka kwa Mungu?

Huo ni upimbi, akaolewe kanisani.
Kama Mungu amewabariki wewe na mkeo wote mnaingiza ela lazima mshirikiane kujitafutia maendeleo.
Leo zake apeleke kanisani kesho mkiachana anataka mgawane mali kati kwa kati? Nyie wana jf hebu fikirieni vizuri huyu mwanamke ni kiazi tena jamaa alijibebesha zigo la bure kuoa mwanamke mkubwa kumzidi na balaa lingine kaingia kwa walokole ambao mke anakuwa hamsikilizi mume wake zaidi ya baba Mchungaji
 
Hilo gari lilikuwa la mkewe.Likwelile akawa analazimisha kulitumia kwa mambo ya ufuska na wanawake wengine
Mke akaona Mateso mengi ndani akaokoka na akaona kuliko hilo gari lake limtumikie shetani heri atoe litumike kwa kazi ya Mungu kuliko mumewe awe analitumia kwenda kwa malaya na kubeba malaya wake

Mwanaume aka mind kukosea hiyo gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…