Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

Yaani anaami saa 12 anaenda kazini akitoka huko anapitiliza kanisani, na kuanzia alhamisi anakesha kanisani, mara wanaenda kuubili sijui wapi, yaani kama kajishikiza kwako ili apate wa kumpumzikia Ili aendelee na yake
Kuna Mianaume mingine mijinga tu,hayo yote anakubaliana nayo kisa tu ana visenti mfukoni hana habari na pesa ya Mwanamke,kumbe anaibiwa zaidi ya pesa! Waswahili wanasema Babu Jinga inama mali yako inaliwa! Na muda wowote uhai wako utakua mashakani kwani uwezi jua Mchungaji akikuona wwe ni kikwazo sana kwenye ulaji wake anaweza akamshauri mkeo wa ku eliminate hapa Duniani!! Nimewaza Kijasusi zaidi!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mambo ni mengi kuliko muda

bora kuachika kuliko kutoa kadi, hukumu ikitoka utuletee mrejesho
Hatareeeeeh sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwahiyo kwako it's ok pesa ya mwanamke yote iende kanisani na kwenye Mambo yake lkn ya mwanaume ijenge nyumba ,isomeshe watoto ,isaidie ndugu na imuhudumie na yeye...Yani kutokubalia na hayo unaona kuvunja haki za wanawake,. sawa kosa la mwanaume linaweza kutaka kutawala kadi ya mwenzie kinguvu lkn mwanamke kukimbia majukumu yake haujaliongeana haujaona tatizo lolote
 
Hapo ndipo utakapojua nguvu ya makanisa ya kilokole, mkeo akitumbukia huko haaaaaaaaaaaaa!
 
Hizi ndoa za kibongo za kifala sana, sasa hapo anagoma kutoa kadi ila wakiachana atataka wagawane Mali kwa kigezo walichuma wote.
Hawa watu ni kuishi nao kwa ajili sana.
 
We bwege kweli kwani watoto si wa kwetu wote,au unajitoa ufahamu,ndio maana mmekua masingle moms wengi mtaani kids ubinafsi.
 
Mwanaume kulia mbele ya hadhara kuwa mkewe hamsaidii majukumu ya nyumbani ni ujuha

Mwanamke akikuona uko vizuri sio mkorofi Kwake wala hata huna haja kumuomba agharimie chochote anafanya kwa moyo mweupe hata akinunua gari anaandikisha jina lako

Akikuona mjuaji na mkorofi kupindukia utamkoma kidume ndie utaenda kupiga miyowe barabarani na mahakamani. Kama hicho kidume kibosi cha magereza!
 
Watoto wetu sote, kazi tufanye sote, pesa umpelekee baba mchungaji, siku ya kuachana mali zangu tugawane..
Haiwezekani.
Hata Mimi siwezi kundelea na hio ndoa unamfuga kama mbuzi alafu utakuta hapo hata heshima haupewi maana mshaara na yeye anapata utamwambia nini, yaani ni kuteseka tu huduma unatoa na heshima haupati

Mbaya zaidi ukute nyumban we staring wazazi hawaishi bala miamala yako,unasomesha wadogo zako ,watoto ,unajenga na kumpa huduma yeye unijisahau kujipa huduma hata wewe mwenywe ,unapoteza mvuto, ndoa inavunjika Mali zinsgawanywa 50/50,unapata depression unakufa .

Wanaume tunapitia mengi Sana ,mwenyezi Mungu atupunguzie adhabu huko motoni kwakweli.
 
Watoto ni wa mwanaume ndio maana kuchukua jina la Mwanaume

Mwanamke ni shamba tu mwanaume analima kitandani na kupanda mbegu zinakua zinakomaa zinazaa tunda watoto

Mwenye watoto wake ni huyo mwanaume.
Kupiga yowe mibarabarani na mahakamani kuwa asaidiwe matumizi kajidhalilisha

Wote sisi mashahidi kesi nyingi za malalamiko kuwa watoto hawapewi matunzo huwa ni wanawake Wanaolalamika kutelekezwa majukumin na wanaume

Hii kesi ni ya kwanza mimi kusikia mwanaume analalamikia gharama za matunzo ya watoto kutoka kwa mwanamke!! Mwanaume mzima na ndefu zake analalamika kutopewa hela ya matunzo ya watoto na mwanamke!!
Anaabisha ukoo huyo mwanaume .
 
Hakuna uhiari kwenye kufanya majukumu ya kutunza familia vinginevyo hatuka maana kuoana
 
Kuna dhambi mwanamke kulipia ada ya mtoto, kununua chakula cha familia nk, wanawake mnafel sana kuona pesa yako sio haki ya mme. Anyway, inategemea wanandoa walianzaje kuleana miezi michache baada ya kuoana, maana tabia huanzia hapo.

Kama mwanamke ni mfanyakazi, haiwezekani from the beggining mshindwe kuelewana fedha ya nani ifanye nini, na ya yupi ifanye kitu kipi.

Sheria ya ndoa inasema mwanaume ndio custodian wa familia, je mwanamme unashindwaje kujiwekea natural law ya familia yako???

Kama mwanamke unafaham kwamba majukumu yote ya familia ni ya mme, na wakati huo wewe mwanamke una kipato...HUTAKUWA MWANAMKE MZURI, LIMBUKENI NA SIO MWAJIBIKAJI. Ni mchunaji wa mme wako na huna maana
 
Hakuna uhiari kwenye kufanya majukumu ya kutunza familia vinginevyo hatuka maana kuoana
Kuoana ni hiari majukumu hayawezi kuwa ya kulazimishana

Ni kawaida kusikia wanawake wanalia matunzo ya watoto kutoka kwa wanaume

Ila hii kesi ya ajabu mwanaume mzima tena Askari analilia matunzo ya watoto kutoka kwa mwanamke!!

Huyo kweli ni mwanaume rijali? Anajua maana ya kuwa mwanaume?

Ndugu zake wamkalishe chini wamtandike na viboko anaaibisha ukoo
 
Huyo si kwamba anampelekea Mchungaji, mmewe itakuwa hataki tu mkewe aende kusali huko, unazani hata Sadaka zenyewe zinazotolewa ni nyingi basi kama umewahi kusali huko uliza wahesabu sadaka ni buku buku tu ndiyo zimejaa.
Mi ushahidi ninao.
Nina ndugu yangu ni mama wa nyumbani.
Ila kila hela unayomtumia anapeleka kanisani.
Wachungaji wameteka sanaa akili za wanawake.

#YNWA
 
Kwa ufupi Mkuu maana ya ndoa inapotea, mbali na kupata utulivu wa nafsi na mwili lkn pia ndoa ni kusaidiana maisha huku kila mtu akingoja siku yake ya kufa ,fedha ndio fuel ya kendesha maisha kutoka kwenye kipato cha mume na mke tofauti na hapo hio sio ndoa nakuwa nakuonga na unanichuna
 
Wakikataa we' inakuhusu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…