Kuna dhambi mwanamke kulipia ada ya mtoto, kununua chakula cha familia nk, wanawake mnafel sana kuona pesa yako sio haki ya mme. Anyway, inategemea wanandoa walianzaje kuleana miezi michache baada ya kuoana, maana tabia huanzia hapo.
Kama mwanamke ni mfanyakazi, haiwezekani from the beggining mshindwe kuelewana fedha ya nani ifanye nini, na ya yupi ifanye kitu kipi.
Sheria ya ndoa inasema mwanaume ndio custodian wa familia, je mwanamme inashindwaje kujiwekea natural law ya familia yako???
Kama mwanamke unafaham kwamba majukumu yote ya familia ni ya mme, na wakati huo wewe mwanamke una kipato...HUTAKUWA MWANAMKE MZURI, LIMBUKENI NA SIO MWAJIBIKAJI. Ni mchunaji wa mme wako na huna maana