Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewiUkiona mkeo ugomvi kidogo anakimbilia kuachana ujue kuna NATO wanampa kiburi. Hapo kama sio mchungaji basi jamaa flani huko kanisani anamsuuza. Huyo mwanaume aeleze tu vizuri wanaume wenzake tupo nyuma yake
Dah...Kama mwamba anapigishwa gem vizuri....na pole/Asante anapewa....Basi akomae atafute pesa zaidi amuongezee mwanamke..... Pesa ya mwanamke haina ladha π€£π€£π€£π€£π€£Hakuna cha kutuangusha wala nini mi naona mwamba katuwakilisha vyema, achague kutoa ATM CARD au ASEPE TU, huwezi fanya kazi mshahara mzima unaupeleka kwa mpigaji mmoja kwa kisingizio cha mchungaji,
My deepest condolences for this ingoranceMaisha kusaidiana nenda kwa mwanaume mwenzako mkope pesa akikupa huo ndo msaada wa kiume siyo mwanamke umemuowa wewe,umemzalisha wewe halafu tena utake akupe msaada huo ndo ujinga mkubwa zaidi kama unakataa kumuulize baba yako.
Ita-make sense kama utakuwa umeolewa wewe!
Au wewe ndio utakuwa huyo mchungaji anayepokea hizo pesa za mke wa askari magereza?Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewi
Sio kizazi niki cha sasa
Wewe sio smart, nasema tena, nina mashaka na hata taaluma yako. Umejipambanua ni mpumbavu kwa ku attack career ya mtu badala ya hoja yake. Nasema tena, kama wewe ni lekcha nawahurumia mno hao wanafunzi na hako kachuo unakofundisha.Maisha ushindani na wewe kidume kama hueleweki kukimbiwa ruksa unataka ajikombe kwako kwa lipi wakati hausomewi
Sio kizazi niki cha sasa
Ina ladha na mbona tamu tu?!Dah...Kama mwamba anapigishwa gem vizuri....na pole/Asante anapewa....Basi akomae atafute pesa zaidi amuongezee mwanamke..... Pesa ya mwanamke haina ladha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya mambo huwa ni magumu sana. Mungu atusaidie tu wababa.Hata kama mwanaume ni kichwa cha familia ila namsapoti huyo mwamba kutaka ndoa ivunjike huo ni upimbi. Unafanya kazi kwa bidii mnaishi kwa tabu ila hela ya mwenzio ingekua hata anajenga kwao au anajinunulia nguo ni sawa ila anampa fala mmoja tu huko anayejiita mtume huo ni ufala wa hali ya juu.
Huyo mwanamke kudai mume anataka Kadi ya benki ni uongo asilimia 900. Ampe talaka tu akalitumikie kanisa vyema.
Mwanamke hadi mashoga zake Mume unatakiwa uwajuwe ni Marafiki wa aina gani,Kama hawakupendezi tabia zao lazima umshauri mkeo jinsi ya kuaachana nao, Baba ndiyo kichwa lazima ukaguwe sector zote za Mkeo kimyakimya!!Hii nadharia unayoizungumzia wewe ni ile ambayo MWANAMKE HAFANYI KAZI YOYOTE (MAMA WA NYUMBANI)
MAISHA YAMEBADILIKA.. LAZIMA UJUE MKEO FEDHA YAKE INATUMIKA KUFANYIA NINI
AKIHONGA WANAUME WA NJE VP?
MWANAMKE NI LAZIMA AWE CHINI YAKO NA UJUE MIENENDO YAKE.. IKIFIKA HATUA HUJUI MKEO FEDHA YAKE INATUMIKAJE MAANA YAKE UANAUME WAKO UKO KTK HATARI
Unageuka CIA wapelelezi kila kona kama humuamini mkeMwanamke hadi mashoga zake Mume unatakiwa uwajuwe ni Marafiki wa aina gani,Kama hawakupendezi tabia zao lazima umshauri mkeo jinsi ya kuaachana nao, Baba ndiyo kichwa lazima ukaguwe sector zote za Mkeo kimyakimya!!
Kanisa katoliki pia lina wajibu linatengeneza Fanatics wa kikatoliki ambao tolerance level kwenye imani za mmojawapo akibadili dini wanakuwa aggressive kama Simba hadi hekima inaondoka wako tayari kufanya vurugu kwa mwenza au aliyebadili dini kwenye family ku mu force arudi ukatoliki kwa nguvu kwa coercive power measuresHiyo ni kesi ngumu! Sana sana hapo ni kazi ya baraza la usuluhishi pamoja na Mchungaji wa Kanisa.
Mimi naamini ukiondoa zaka na matoleo mengine si kwamba mke anapeleka mshahara wote Kanisani.
Shida hapo ni mke kuokoka!
Wee jamaaa? Sasa hela akale mchungaji?Kwa hiyo mkewe akiwa period anavuna damu amuombe mumewe aliyempa ATM akatoe pesa ampe akanunue pedi ?
Au chupi imechakaa akaombe mpenzi naomba Ukatotoe pesa kwenye ATM yangu chupi imechakaa
Huyo mwanaume mjinga
Unaona kapendeza .kidume kinaanza ohh sweet I love you my Vodafom or my WhatsApp au mpendwa mimi Mungu kanionyesha usiku nimelala Malaika Gabriel akiongozana na Mungu nyuma yake niliwaona live wakaja wakanionyesha wewe ndie ubavu wangu kumbe anavizia ATM yako umkabidhiHahahahaha... wanaume wa siku hizi bana wamekaa kimchongo
Sasa hapo haki sawa ipo wapi, kwenye kupata maslahi kama kazi na ajira mnataka haki sawa lakini linapokuja kwenye majukumu hamtaki kuchangia sasa hizo kazi mnataka za nini?Huyo mwanaume anataka pesa ya mwanamke tu
Uanaume sio kuvaa suruali na dude kama bunduki katikati ya suruali
Ni uwezo wa kuhudumia familia bila kuelekea ku force ohh nipe kadi ya benki na ATM na namba ya Siri
Watetezi wanasheria wa haki za wanawake na NGo tetea haki za wanawake siku hiyo kesi iliyotajwa jazaneni hasa kuonyesha solidarity na huyo mama. Maafisa balozi wa nje pia wawepo wa dawati la balozi wa jinsia.
Mfumo dume unahitaji kusomeshwa.
Hakimu na wewe kakamaa mwanamke mwenzio huyo. Toa hukumu ya kihistoria ambayo ita trend dunia nzima ili mwanaume yeyote Mwenye tabia kama hiyo asije tokea.
Huyo atakuwa ni miongoni mwa wachungaji matapeli.Kuna kutetea haki za wanawake na kuna kutetea ufala, tofauti yake ni ndogo sana unless wewe ni mnufaika wa hizo sadaka, nitakuelewa unatetea ugali wako.