Kuna wanaume mafala sana humu ndani huo ni upumbavu wanatetea nahisi wanapelekeshwa na wake zao kiasi ambacho wanaona huyo mwanamke anachofanya ni kidogo compared to ambacho wanapitiaNikisoma comments za Wanaume wenzangu nimegundua kwa nini wengi wanakufa mapema,kwa sababu ya kujikweza-mwisho anafeli na presha juu.
Kama Mkeo anafanya kazi-lazima msaidiane katika kulea familia,lazima kusaidiana majukumu.
Utakuta mchungaji' anakula vyote pesa na mwanamke.Ukiangalia kwa undani hii stori sio kwamba jamaa alitaka akabidhiwe kadi,isipokuwa hela ilikuwa inaishia kusikojulikana ndio maana akataka ajue inaenda wapi.
Hayamhusu huyo kidume kiofisa koko cha magereza kilinda wafungwa wakinya wasije kutorokaShida sio kadi, shida ni kumpelekea tapeli pesa
Kwa hiyo mkewe akiwa period anavuna damu amuombe mumewe aliyempa ATM akatoe pesa ampe akanunue pedi ?Kuna kutetea haki za wanawake na kuna kutetea ufala, tofauti yake ni ndogo sana unless wewe ni mnufaika wa hizo sadaka, nitakuelewa unatetea ugali wako.
Mwanangu imekuuma sababu unapata kula yako kwa style hiyo.Kwa hiyo mkewe akiwa period anavuna damu amuombe mumewe aliyempa ATM akatoe pesa ampe akanunue pedi ?
Au chupi imechakaa akaombe mpenzi naomba Ukatotoe pesa kwenye ATM yangu chupi imechakaa
Huyo mwanaume fala
Acha wajikweze huku moyoni wanakufa taratibu ha!ha!Nikisoma comments za Wanaume wenzangu nimegundua kwa nini wengi wanakufa mapema,kwa sababu ya kujikweza-mwisho anafeli na presha juu.
Kama Mkeo anafanya kazi-lazima msaidiane katika kulea familia,lazima kusaidiana majukumu.
Amini nakwambia wanaocomment hivi hawafanyi hivyo.Kweli kuna wanaume viazi yani wewe na Mke mfanye kazi halafu useme hela ya Mkeo atumie anavyotaka huku wote MNA watoto wana wategemea.
Ndio maana Wazungu wanatuzidi.
Siku ya kugawana mali unafikiri Kuna kuuliza nani huwa anatoa Hela nyingiNi aibu dume Zima kung'ang'ania fedha za mkeo. Sio kazi yake kuhudumia familia. Kidume ng'ang'ana !!! Akikunyima chini ya kitovu hapo nenda mahakamani... Lakini sio kadi yake ya benki.!!!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Tatizo anapoipeleka kanisani halafu inaenda kuliwa na wanaume wengine.Wanaume tafuteni pesa, pesa ya mwanamke ni yake, ila ya mume ni yenu.
Huyu mwanamke ameshapata bwana tena ni huyo mchungaji wake wa kilokole,haiwezekani pesa zote apeleke kwa mchungaji halafu ukiulizwa unasema bora tuachane.Nikisoma comments za Wanaume wenzangu nimegundua kwa nini wengi wanakufa mapema,kwa sababu ya kujikweza-mwisho anafeli na presha juu.
Kama Mkeo anafanya kazi-lazima msaidiane katika kulea familia,lazima kusaidiana majukumu.
Mkuu we ndio baba mchungaji niniHayamhusu huyo kidume kiofisa koko cha magereza kilinda wafungwa wakinya wasije kutoroka
Mwanamke akipata pesa yake kwa nini utake kudhibiti pesa yake matumizi? Mkataba wa ndoa unatamka kuwa ukioa utadhibiti matumizi ya pesa za mkeo? Mbona wewe hakuombi ATM yako?
Hii kesi tamu hukumu yake itakuwa landmark kuonyesha kama mke ana haki ya chake akipatacho kwa jasho lake kuwa lazima kidhibitiwe na mwanaume aliyemuoa kuwa mwanamke hana uhuru wa kutumia pesa yake hata kununua pedi bila ruksa ya mume aliyeshikilia ATM kisa alilipa mahari.Kuwa hata akitaka pedi ambembeleze mwanaume kuwa naomba ike ATM niliyokupa Katoe pesa nikanunue pedi navuja siku zangu mume wangu niko chini ya miguu yako katoe