Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

Dadake unasema maisha hayana formula wakati huohuo wewe unaleta formula
 
Zamu Yako inakuja, utalia na kusaga meno.
 
Kwa sababu ni lisingle maza yenyewe ni majinga siku zote
 
Hakuna singo maza wala singo faza. Msiondoshe makali ya maneno, watoto wa zinaa hao. Kiswahili tunasema watoto wa haramu.

Nakuja na mada ya ma singo maza.
Bibi usisahau kuni tag nipate elimu
 
Ila humo humo kwenye ma single mother kuna wanawake na nusu wengi tu! Shida ni haya mafeminist yanayojidai yamesoma! Takataka kabisa! Lakini ukikuta waliobebeshwa mimba bila kutarajia, ni wazuri tu!
Ni kweli mkuu,

Ila kwakweli wengi wao kuachana kabisa na wazazi wenza ni jambo gumu kwao.

Hii ni risk ambayo muoaji anapaswa kuifahamu na kuimitigate kabla ya kuingia kwenye ndoa.
 
Mimi baba yako sio dada! Anyway tuendelee; hicho nilicho kuandika sio lazima iwe hivo kwa watu wote; wengine wanabadirikaga
Sio ivo mama samahani Kwa kukuvunjia heshimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikwel baba mtoto anayo haki kwa mtoto wake lakini mama ana wajibu wakumuheshimu mume wake
Angemuacha baba mtoto ampeleke shule mtoto then mama mtu angenda siku nyingine kumvisit mtoto
Ukishakua mke mwenye mtoto nje na me asie mume wako lazima ufikirie maamuzi yako mumeo atayachukulia vipi
 
Hapa umemaliza kila kitu, Sijui wanawake tukoje jamani, daah!!!
 
Sio ivo mama samahani Kwa kukuvunjia heshimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Well; haibadirishi maana hata ukinibadirisha jinsia; level ya kuchukia vitu vidogo kama hivo niliisha vuka siku nyingi sana
 
Iyo haki ya mtoto unaijua wewe sasa, alivyo kuacha na kwenda kuowa mwanamke mwingine yeye hakujua iyo haki??

Hakika umechezea shilingi katka tundu la choo, Utamkumbuka mumeo,
 
Iyo haki ya mtoto unaijua wewe sasa, alivyo kuacha na kwenda kuowa mwanamke mwingine yeye hakujua iyo haki??

Hakika umechezea shilingi katka tundu la choo, Utamkumbuka mumeo,
 
Mumeo alikuwa mtu mwema sana kwako, kakulea wewe na mtoto wako lakini bado ukawa na mawasiliano na huyo kifulugobe mwenzio...! Eti ni mtoto wangu, alivyokuwa anamgharamia je hukuona?! Ila huyo x wako vile ana pesa kumzidi mumeo basi matundu yote yakafunguka na kuwa wazi, wewe una tamaaa na talaka ni haki yako

Nyoka mbaya wewe!
 
1. Dini
2. Ndoa
3. Siasa

Vitu ivo qmmk sana.
 
Mkiachana mkiwa mmeshazaa inakuwaga kama kuna ka laana kanawaganda hamtapumzika mpaka mmoja wenu afe
 
Mwanamke akishazalishwa na akaachwa Ni swala la muda tu madishi yanakuwa yameyumba!
 
Mkiachana mkiwa mmeshazaa inakuwaga kama kuna ka laana kanawaganda hamtapumzika mpaka mmoja wenu afe
Hakuna chochote ni umalaya wake unamsumbua,

Ndio maana ata uyo x wake alimuacha aliona kabisa sio wife material
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…